Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

Faida inategemea na jinsi siku ilivyo changamka, na sehemu unazopita. Kuna siku unaweza ukapata ela nyingi mpaka raha na kuna siku unaweza ukapata pesa kidogo tu. Lakini ni biashara ambayo ukiwa na nidhamu unaweza kuingiza faida nzuri. 50, 60,70 wakati mwingine mpaka laki hukosi kwa siku.

Nna uzoefu na biashara hiyo
Sorry mkuu, Faida ya elfu 50 ni gari ikiwa yako halafu unaendesha wewe mwenyewe? Pia ili upate elfu 50, mpaka ufanye kazi kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi?
 
Back
Top Bottom