Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
own goalDuh hii kitaalam tunaitaje sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
own goalDuh hii kitaalam tunaitaje sijui
Sorry mkuu, Faida ya elfu 50 ni gari ikiwa yako halafu unaendesha wewe mwenyewe? Pia ili upate elfu 50, mpaka ufanye kazi kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi?Faida inategemea na jinsi siku ilivyo changamka, na sehemu unazopita. Kuna siku unaweza ukapata ela nyingi mpaka raha na kuna siku unaweza ukapata pesa kidogo tu. Lakini ni biashara ambayo ukiwa na nidhamu unaweza kuingiza faida nzuri. 50, 60,70 wakati mwingine mpaka laki hukosi kwa siku.
Nna uzoefu na biashara hiyo
Wala hajamkosea ni magonjwa ya akiliHuyu jamaa kwani umemkosea nini mkuu