mr. avatar
Member
- Jun 24, 2015
- 6
- 0
Mimi nakushauri uchukue mkopo wa sh mil 12 katika benki ya CRDB. Uchukue mkopo huo kwa kulipa muda wa miaka mitatu.
Makato yatakuwa sh 433230 kwa mwezi.
Ukitaka kurudisha kwa miaka mitano iyo pesa wanakata kiasi gani kwa mwezMimi nakushauri uchukue mkopo wa sh mil 12 katika benki ya CRDB. Uchukue mkopo huo kwa kulipa muda wa miaka mitatu.
Makato yatakuwa sh 433230 kwa mwezi.
kama mshahara wangu take home ni laki 4 nimeajiriwa serekalini naweza kukopa sh ngapi CRDB?

April mwaka huu nilikopa mil 12,400,000. nikiwa na basic 630,000 Nakatwa 289,000 hadi 2019, sasa inategemeana upo kada gani

Mkuu hapo umenipa moyo kidogo coz nami nataka nkarambe mkopo basic salary yangu ni 1.5M hapo naweza kopa kama sh ngapi kulingana na mahesabu waliokupa kama ntakopa na mkopo uishe baada ya miaka 3?
huo uwongo, weka salary slip yako tuone