mr. avatar
Member
- Jun 24, 2015
- 6
- 0
Mimi nakushauri uchukue mkopo wa sh mil 12 katika benki ya CRDB. Uchukue mkopo huo kwa kulipa muda wa miaka mitatu.
Makato yatakuwa sh 433230 kwa mwezi.
Sasa mkuu kama riba ni 18% afu akichukua 12mil maana yake atarejesha kama milion 14 na points ambapo ukiigawa kwa miez 36 inakuwa kama laki 3 na pesa flan iv,sasa ikiwa makato ni 433230 kwa mwezi huoni pesa itayorudishwa ni nyingi sana ambayo ni zaid ya 18%?