Naomba ushauri juu ya kuchukua mkopo

Naomba ushauri juu ya kuchukua mkopo

Mimi nakushauri uchukue mkopo wa sh mil 12 katika benki ya CRDB. Uchukue mkopo huo kwa kulipa muda wa miaka mitatu.

Makato yatakuwa sh 433230 kwa mwezi.

Sasa mkuu kama riba ni 18% afu akichukua 12mil maana yake atarejesha kama milion 14 na points ambapo ukiigawa kwa miez 36 inakuwa kama laki 3 na pesa flan iv,sasa ikiwa makato ni 433230 kwa mwezi huoni pesa itayorudishwa ni nyingi sana ambayo ni zaid ya 18%?
 
Mimi nakushauri uchukue mkopo wa sh mil 12 katika benki ya CRDB. Uchukue mkopo huo kwa kulipa muda wa miaka mitatu.

Makato yatakuwa sh 433230 kwa mwezi.
Ukitaka kurudisha kwa miaka mitano iyo pesa wanakata kiasi gani kwa mwez
 
kama mshahara wangu take home ni laki 4 nimeajiriwa serekalini naweza kukopa sh ngapi CRDB?

April mwaka huu nilikopa mil 12,400,000. nikiwa na basic 630,000 Nakatwa 289,000 hadi 2019, sasa inategemeana upo kada gani
 
April mwaka huu nilikopa mil 12,400,000. nikiwa na basic 630,000 Nakatwa 289,000 hadi 2019, sasa inategemeana upo kada gani

Mkuu hapo umenipa moyo kidogo coz nami nataka nkarambe mkopo basic salary yangu ni 1.5M hapo naweza kopa kama sh ngapi kulingana na mahesabu waliokupa kama ntakopa na mkopo uishe baada ya miaka 3?
 
Mkuu hapo umenipa moyo kidogo coz nami nataka nkarambe mkopo basic salary yangu ni 1.5M hapo naweza kopa kama sh ngapi kulingana na mahesabu waliokupa kama ntakopa na mkopo uishe baada ya miaka 3?

huo uwongo, weka salary slip yako tuone
 
kimsingi nenda katika bank unayotaka kukopa kutana na loan officer atakupa ushaur mzur

kwa mfano kwa mkopo unaotaka mil 12

inategemea kwanza ww unataka ukatwe sh. ngap

wao wataangalia kias ambacho utakatwa unaweza kurudisha kwa miez mingap

either miez 12,24,32 na kuendelea
 
asanteni sana wakuu kwa ushauri wenu...ntafuatilia CRDB.......Mungu akijalia...kama kuna wazo jingine ntafrai..maana take home yangu ni 1.2...na nataka mkopo kwa miaka mitatu tu
 
April mwaka huu nilikopa mil 12,400,000. nikiwa na basic 630,000 Nakatwa 289,000 hadi 2019, sasa inategemeana upo kada gani

Kama Ni 5 years inaonesha utalipa 17,340,000/= Kwa 5 years. RIBA hapo Ni zaidi ya 18%
 
Back
Top Bottom