Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Shukrani niliwatoa tu wanywe majiTukianza na hapo ulipowaweka siyo mahali sahihi , hapo chini watapata baridi halafu watakufa ndani ya next few days kwa baridi
Duh mkuu umejibu vibaya sana at least ungempa utani mwingine jf uzoee sio kila cha maana ukiuliza utajibiwa kwa maana wengine ma comedy wanataka wachekeshe watuWazazi wako wakishakufa ndo Hawa watakufa
KweliKuku 7 mbona itakuwa ghalama kuwahumia? Bora wangekuwa hata 50,mfano Chanjo ukinunua unachanja kuku 7 tu inayobaki haifai kuitunza unaitupa huoni ni ghalama?
Ni ngumu kumudu gharama ya chanjo Kwa idadi hiyo ya kuku wachache sana utakula hasara.Habari za mids hii
Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa
Sasa naomba kuuliza utaratibu ukoje kuhusu chanjo Ni ipi na Kila baada ya muda gani , je wakiwa wanaumwa i.e kuharisha kusinzia niwape Nini
Kuhusu lengo la kuwafuga Bado sijajua kuwa nitaacha watage au nitawatafuna kabla hawajataga
Ushauri wenu tafadhali kwa Sasa naona Wana afya njema wanaruka ruka huko nje kwa makisio Wana week bila shaka nilisahau uliza niliponunua
Kama una eneo la kutosha funga wa kienyeji
Gharama sana kwa kuku hao in terms of chanjo. Maana kwa kawaida ziko 3. Newcastle, gumboro na ndui. Chanjo hizo zinapishana siku saba sana na jumla si chini ya 20. Dawa ukishagungua haitumiki tena.Habari za mids hii
Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa
Sasa naomba kuuliza utaratibu ukoje kuhusu chanjo Ni ipi na Kila baada ya muda gani , je wakiwa wanaumwa i.e kuharisha kusinzia niwape Nini
Kuhusu lengo la kuwafuga Bado sijajua kuwa nitaacha watage au nitawatafuna kabla hawajataga
Ushauri wenu tafadhali kwa Sasa naona Wana afya njema wanaruka ruka huko nje kwa makisio Wana week bila shaka nilisahau uliza niliponunua
Dawa ikishafunguliwa haifai Tena?Gharama sana kwa kuku hao in terms of chanjo. Maana kwa kawaida ziko 3. Newcastle, gumboro na ndui. Chanjo hizo zinapishana siku saba sana na jumla si chini ya 20. Dawa ukishagungua haitumiki tena.
Minyoo asisahau na mafua.Chanjo siyo bei sana mkuu usiogope ndui ndiyo inauzwa kwenye 10k nayo nunua ile ya kuchoma na sindano usijekununua tatu moja utalia, newcastle inauzwa 2900-3500, gumboro nayo ni humuhumo,
Baada ya siku saba wape newcastle baada ya siku 14 gumboro utarudia tena newcastle tena gumboro halafu ndui ila hakikisha mazingira yawe safi ili wasipate mafua na uwape na dawa ya minyoo
Hongera kwa kuanza ufugaji mkuu
Gharama sana kwa kuku hao in terms of chanjo. Maana kwa kawaida ziko 3. Newcastle, gumboro na ndui. Chanjo hizo zinapishana siku saba sana na jumla si chini ya 20. Dawa ukishagungua haitumiki tena.
Nieleweshe vizuri hapanunua ile ya kuchoma na sindano usijekununua tatu moja utalia,
Chanjo siyo bei sana mkuu usiogope ndui ndiyo inauzwa kwenye 10k nayo nunua ile ya kuchoma na sindano usijekununua tatu moja utalia, newcastle inauzwa 2900-3500, gumboro nayo ni humuhumo,