Sera park
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 398
- 730
Hapo utapata hasara Kuku wachache unawahudumia balaaNimenunua na size hio sijawapa chanjo bado yoyote nahisi Hadi wamefika umri huo tayari Wana chanjo
Nimewapa dawa mbili tu hizi hapa chiniView attachment 2798768
Kuna ambao Wana mafua tuseme Ni wote tu hizo dawa naona Kama Kuna saa zinasaidia Kuna saa mafua yanazidi Hadi mmoja hali anazubaa tu
Last night nikaweka tetracyline wakanywa naona wamechangamka ila mafua hayajaisha naomba ushauri juu ya dawa ya mafua
Pia nasikia ukiwapa chanjo Kama hivo wanakufa