Hyo nyumba mlIjenga wote au ameikuta?
Sheria ni kama game if chess, wewe tafura legal expert atakupa technicalities za kuwa favourable upande wako,
Lakini kwanini na wewe ukubali ahamie wako hata kama umemzalisha?
Kuna jamaa yangu alimpa mimba binti, na alimuuliza kama yuko safe au danger, alimjibu safe kabla ya shoo
Baada ya miezi nane, binti anamwamvia ana mimba.
Jamaa anauliza mbona ulisema huko safe na nilisema sitaki mtoto, demu anaumama tu maneno.
Alikuja kuzaa, alafu akaletwa na mama zake wadogo ofisini kwa jamaa, wao hawamtaki hawawezi kumlea achukue mzigo wake, ile familia walikuwa wapare.
Uzuri mwamba alikuwa chuma, alimwambia nitatuma matumizi huyu siende nae popote.
Behind the scene, pale kwa ofisi ya mwamba kumbe kuna jamaa alikuwa mpare ndio alikuwa anauzaa cd kwa demu, na mipango yote
Mwisho siku chuma kilikaza