Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

Je kwa haya yote aliyonifanyia kisheria ni nini nifanye ila hata tukienda mbele basi yeye aondoke kapa.Mtoto Yuko darasa la nne na anamiaka 9
Mkuu, acha kuteseka wakati mwanasheria nipo kwa ajili ya kutatua changamoto kama hizo. Nitafute kwa 0713368153 tumkabili huyo mtesi wako.

Hata kama unataka kubaki na mtoto uishi nae, wewe njoo tuyajenge upate vile moyo wako unataka na ubaki na mali zako zote bila wasiwasi. Na hutakaa ulale polisi hata saa 1 (kwa mujibu wa maelezo yako hapa).

Huwezi kuuza mali yako uliyoipata kwa shida na kuiweka mahali ulipopapenda sababu tu ya mtu uliyekutana nae ukubwani. Nitafute.
 
chakwanza hauja muoa mnaishi sogea tukae,
mwambie kwa tabia hizi moja,mbili, tatu,sitaweza kuzivumilia full stop
ikiwa hatoweza kuishi kwenye njia zako basi
uvunje vioo vya nyumba,
mara achane nguo ise
 
Je kwa haya yote aliyonifanyia kisheria ni nini nifanye ila hata tukienda mbele basi yeye aondoke kapa.Mtoto Yuko darasa la nne na anamiaka 9
Huyo mwanamke mbona anakufanyia unyanyasaji wa hali ya juu afu unamuwacha tuu bila kumchukulia hatua yeyote, kitendo cha kuchukua tuu laptop ilihali chakula kipo ndani na huduma zingine anapata ulitakiwa umlaze hata police mpaka aseme laptop iko wapi au ungepiga beat moja tuu ingerudi chap, kwanza mpaka anafanya yote hayo unaonekana wewe ni dhaifu.
 
Mnatafuta majini sijui mapepo kwenye vilinge na madhabahu wakati wewe UMEFUGA mmoja hapo live!

Kimsingi unaweza fanya biashara ya kuonesha watu pepo/jini linafananaje!
 
Hata wakati wa mapenzi alikiwa na hali yakulipuka ovyo ila kwa sasa ndo naona ukatili WA Hali ya juu.Nianwezafanya maguvu nikaingia ndani nikalala lakini naona hatari kubwa kati yetu ndo maana anulizia njia Bora yakupambana
Mpeleke mirembe kwanza huyo ni kichaaa
 
Je umefikiria kuhusu usalama wako wewe Kama ukiachana Mali.

Usisubiri akuue au umuue chukua maamuzi ya busara kujitenga na mtu ambaye ameonesha kuwa hayupo sawa kiakili na kiufahamu .

Kipindi unawaza njia za kumshughulikia kisheria hakikisha pia na wewe unajitengenezea njia za kuweka defense Kwa unachokipitia wakati huu.
 
Mkuu, acha kuteseka wakati mwanasheria nipo kwa ajili ya kutatua changamoto kama hizo. Nitafute kwa 0713368153 tumkabili huyo mtesi wako.

Hata kama unataka kubaki na mtoto uishi nae, wewe njoo tuyajenge upate vile moyo wako unataka na ubaki na mali zako zote bila wasiwasi. Na hutakaa ulale polisi hata saa 1 (kwa mujibu wa maelezo yako hapa).

Huwezi kuuza mali yako uliyoipata kwa shida na kuiweka mahali ulipopapenda sababu tu ya mtu uliyekutana nae ukubwani. Nitafute.
Wazo zuri Sana Wakili Msomi.
 
Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015.

Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. Mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji yake. Nami niliendelea kugaramia Kila kitu kama baba.

Mwaka 2020, niliamua kukaa naye na akahamia rasmi kwenye nyumba niliyokuwa nomejenga baada ya kufabya kazi kwa zaidi ya miaka 8kutokana na mishahara etc.

Sasa tangia amekanyaga kwangu kwanza anachukia hata watoto wandugu wanaopita kwetu kwenda masomoni.

Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.

Katika utafiti wangu nimesikia kunafygu wamemushauri anifanyie vituko ili ni overact harafu anipeleke polisi na mahakamani, nifungwe harafu nyumba na baathi ya pesa zilizoko benka amabzo sijamwabia zilizo basi zitafishwe kwa kisingizo za haki kupewa mwanamke kutunza yeye na mtoto.

Juzijuzi aliondoka na laptop yangu ikiwa na critical information na sijui Iko wapi inagea kakili kusema kaweka bond apate laki 5 alikuwa nazo, nimemuuliza aliiweka bond Kwa nani hataki kabisa kusema.

Huyu mwanamke sijatoa mahari sababu tangia kufika niliona vituko hadi nikashangaa hivyo sijapata moyo wakutoa mahari na hataki kuachika.

Wadau naombeni njia ipi Bora yakufanya ili likitokea la kupelekana polisi na mahakamani basi nia yake yakunidhurumu mali chache nilizonazo isifanikiwe na tuachane salama.

Nawashukuru sana
Matatizo unayalea mwenyewe, fukuza huyo chizi atakuja kukuua kwa ujinga wako..

Unakubalije kuishi na kichaa
 
tunza ushahidi unaoonesha kuwa nyumba ilikuwepo kabla hamjaanza kuishi pamoja, ili nyumba isiingie kwenye Mali mlizochuma pamoja
 
Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015.

Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. Mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji yake. Nami niliendelea kugaramia Kila kitu kama baba.

Mwaka 2020, niliamua kukaa naye na akahamia rasmi kwenye nyumba niliyokuwa nomejenga baada ya kufabya kazi kwa zaidi ya miaka 8kutokana na mishahara etc.

Sasa tangia amekanyaga kwangu kwanza anachukia hata watoto wandugu wanaopita kwetu kwenda masomoni.

Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.

Katika utafiti wangu nimesikia kunafygu wamemushauri anifanyie vituko ili ni overact harafu anipeleke polisi na mahakamani, nifungwe harafu nyumba na baathi ya pesa zilizoko benka amabzo sijamwabia zilizo basi zitafishwe kwa kisingizo za haki kupewa mwanamke kutunza yeye na mtoto.

Juzijuzi aliondoka na laptop yangu ikiwa na critical information na sijui Iko wapi inagea kakili kusema kaweka bond apate laki 5 alikuwa nazo, nimemuuliza aliiweka bond Kwa nani hataki kabisa kusema.

Huyu mwanamke sijatoa mahari sababu tangia kufika niliona vituko hadi nikashangaa hivyo sijapata moyo wakutoa mahari na hataki kuachika.

Wadau naombeni njia ipi Bora yakufanya ili likitokea la kupelekana polisi na mahakamani basi nia yake yakunidhurumu mali chache nilizonazo isifanikiwe na tuachane salama.

Nawashukuru sana
Kwanza wewe mbona kama so mzawa kwanza hebu kuwa mkweli wewe ni mtanzania? maana uandishi wako duhh
 
Umesoma hicho kisa.

Sioni ulazima wa sheria hapo. Huyo mwanamke anaendesha na mihemko, na mtu wa mihemko ni kumpa beat la maana na akijaa unamsainisha mkataba wa kuachana na hela kdg za kulea basi unatemana nae
akijaa, hahahahhaha
 
Na huku umo? 😂

Kwahiyo Kama hujaolewa ndo uvunje vioo na upige wembe nguo za mwenzio?! 😃 ukaweke bond mali za ndani kisa hela?! Sasa hapo ndo utamshawishi akuoe au akuone mwehu?! 😃😃😃

Nilisema kule hamna akili.., Ukasema natumia nguvu kuandika

Haya 😌
Labda ana hasira ya wewe kukaa nae mda mrefu bila ya ndoa halali.
 
Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015.

Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. Mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji yake. Nami niliendelea kugaramia Kila kitu kama baba.

Mwaka 2020, niliamua kukaa naye na akahamia rasmi kwenye nyumba niliyokuwa nomejenga baada ya kufabya kazi kwa zaidi ya miaka 8kutokana na mishahara etc.

Sasa tangia amekanyaga kwangu kwanza anachukia hata watoto wandugu wanaopita kwetu kwenda masomoni.

Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.

Katika utafiti wangu nimesikia kunafygu wamemushauri anifanyie vituko ili ni overact harafu anipeleke polisi na mahakamani, nifungwe harafu nyumba na baathi ya pesa zilizoko benka amabzo sijamwabia zilizo basi zitafishwe kwa kisingizo za haki kupewa mwanamke kutunza yeye na mtoto.

Juzijuzi aliondoka na laptop yangu ikiwa na critical information na sijui Iko wapi inagea kakili kusema kaweka bond apate laki 5 alikuwa nazo, nimemuuliza aliiweka bond Kwa nani hataki kabisa kusema.

Huyu mwanamke sijatoa mahari sababu tangia kufika niliona vituko hadi nikashangaa hivyo sijapata moyo wakutoa mahari na hataki kuachika.

Wadau naombeni njia ipi Bora yakufanya ili likitokea la kupelekana polisi na mahakamani basi nia yake yakunidhurumu mali chache nilizonazo isifanikiwe na tuachane salama.

Nawashukuru sana
Mmefunga ndoa kama hamfunga ndoa fukuza hiyo ng'ombe Lea mtoto baada ya hapo uza nyumba nunua nyingine ili kujitoa kwenye nuksi ya Hilo pepo
 
Wewe ni boya tena boya aswaa,mwanamke axhukue laptop unamuangalia tu,
Huwezi kufungwa wala kutaifishwa mali kisa migogoro yafamilia
Narudia weweniboya pro
 
Hv nyie mnaoa ili iweje, ndoa niutapeli
Hivi kasema amemuoa aua wanaishi tu pamoja kimjini mjini.

Sijaona aseme walifunga ndoa Kanisani/Msikitini/Serikalini.

Kama hamna Cheti cha Ndoa, hapo upo pazuri
 
Duuh pole sana,

Huyo mkeo atakua na matatizo ya afya ya akili maana hizo si za tabia za kawaida kwa mtu aliye sawa kiakili na kihisia. Atafutiwe msaada!
 
Jamaa usikonde kabisa hii siyo inshu kubwa ila ukikzunaa kweli atakudedisha
Chakufanya

Nenda kapange mbali hata asijue
Uwe unakuja mara chache kumuona mtoto then unaendelea na mishe yako akikupereka ustawi ndiyo amekupa uahueni watakupigia hesabu fedha ya matumizi ya mtoto ni kiasi kitakuwa ndani ya uwezo wako asote ajute

Usilogwe umrudie na usimpe taraka
 
Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.
Unaishi na Mwanamke mwenye matatizo ya Afya ya akili na iko siku atakumwagia maji ya moto ukiwa umelala.
 
Back
Top Bottom