Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

Wadau,,ninamke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010..baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015.Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji yake.Nami niliendelea kugaramia Kila kitu kama baba.Mwaka 2020, niliamua kukaa naye na akahamia rasmi kwenye nyumba niliyokuwa nomejenga baada ya kufabya kazi kwa zaidi ya miaka 8kutokana na mishahara etc.
Sasa tangia amekanyaga kwangu kwanza anachukia hata watoto wandugu wanaopita kwetu kwenda masomoni.Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.
Katika utafiti wangu nimesikia kunafygu wamemushauri anifanyie vituko ili ni overact harafu anipeleke polisi na mahakamani,,nifungwe harafu nyumba na baathi ya pesa zilizoko benka amabzo sijamwabia zilizo basi zitafishwe kwa kisingizo za haki kupewa mwanamke kutunza yeye na mtoto. Juzijuzi aliondoka na laptop yangu ikiwa na critical information na sijui Iko wapi inagea kakili kusema kaweka bond apate laki 5 alikuwa nazo ,,nimemuuliza aliiweka bond Kwa nani hataki kabisa kusema.Huyu mwanamke sijatoa mahari sbb tangia kufika niliona vituko hadi nikashangaa hivyo sijapata moyo wakutoa mahari na hataki kuachika.Wadau naombeni njia ipi Bora yakufanya ili likitokea la kupelekana polisi na mahakamani basi nia yake yakunidhurumu mali chache nilizonazo isifanikiwe na tuachane salama.Nawashukuru sana
Hiyo ni red flag..
Piga chini haraka.
 
Maandishi yako yanaonesha si mtu mwenye misimamo, Sio Leader na unaendeshwa na huyo mwanamke kwa kigezo cha mkeo/mzazi mwenzio, bro amka, kwenye kikao chetu hatumtambui huyo bidada, unless otherwise kuna mengine umeficha yanayokuhusu kupelekea hayo.🙌🏾
Kama hujakutana na wanawake aina ya aloelezewa hapo juu huwezi elewa.

Kumpiga huwezi, na ukimpiga ndo umejimaliza kabisa. Hio situation ya huyu jamaa omba sana usijikanyage ikukute, utakonda waseme umenyimwa ARV na uncle Trump
 
Pole sana ndugu, hapo tafuta mwanasheria mbobevu
Wadau,,ninamke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010..baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015.Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji yake.Nami niliendelea kugaramia Kila kitu kama baba.Mwaka 2020, niliamua kukaa naye na akahamia rasmi kwenye nyumba niliyokuwa nomejenga baada ya kufabya kazi kwa zaidi ya miaka 8kutokana na mishahara etc.
Sasa tangia amekanyaga kwangu kwanza anachukia hata watoto wandugu wanaopita kwetu kwenda masomoni.Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.
Katika utafiti wangu nimesikia kunafygu wamemushauri anifanyie vituko ili ni overact harafu anipeleke polisi na mahakamani,,nifungwe harafu nyumba na baathi ya pesa zilizoko benka amabzo sijamwabia zilizo basi zitafishwe kwa kisingizo za haki kupewa mwanamke kutunza yeye na mtoto. Juzijuzi aliondoka na laptop yangu ikiwa na critical information na sijui Iko wapi inagea kakili kusema kaweka bond apate laki 5 alikuwa nazo ,,nimemuuliza aliiweka bond Kwa nani hataki kabisa kusema.Huyu mwanamke sijatoa mahari sbb tangia kufika niliona vituko hadi nikashangaa hivyo sijapata moyo wakutoa mahari na hataki kuachika.Wadau naombeni njia ipi Bora yakufanya ili likitokea la kupelekana polisi na mahakamani basi nia yake yakunidhurumu mali chache nilizonazo isifanikiwe na tuachane salama.Nawashukuru sana
 
Kama hujakutana na wanawake aina ya aloelezewa hapo juu huwezi elewa.

Kumpiga huwezi, na ukimpiga ndo umejimaliza kabisa. Hio situation ya huyu jamaa omba sana usijikanyage ikukute, utakonda waseme umenyimwa ARV na uncle Trump
🥺 Sasa mimi ntakutana nao wapi, khee
 
Wadau,,ninamke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010..baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015.

Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji yake.Nami niliendelea kugaramia Kila kitu kama baba.

Mwaka 2020, niliamua kukaa naye na akahamia rasmi kwenye nyumba niliyokuwa nomejenga baada ya kufabya kazi kwa zaidi ya miaka 8kutokana na mishahara etc.

Sasa tangia amekanyaga kwangu kwanza anachukia hata watoto wandugu wanaopita kwetu kwenda masomoni.Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.

Katika utafiti wangu nimesikia kunafygu wamemushauri anifanyie vituko ili ni overact harafu anipeleke polisi na mahakamani,,nifungwe harafu nyumba na baathi ya pesa zilizoko benka amabzo sijamwabia zilizo basi zitafishwe kwa kisingizo za haki kupewa mwanamke kutunza yeye na mtoto.

Juzijuzi aliondoka na laptop yangu ikiwa na critical information na sijui Iko wapi inagea kakili kusema kaweka bond apate laki 5 alikuwa nazo ,,nimemuuliza aliiweka bond Kwa nani hataki kabisa kusema.Huyu mwanamke sijatoa mahari sbb tangia kufika niliona vituko hadi nikashangaa hivyo sijapata moyo wakutoa mahari na hataki kuachika.

Wadau naombeni njia ipi Bora yakufanya ili likitokea la kupelekana polisi na mahakamani basi nia yake yakunidhurumu mali chache nilizonazo isifanikiwe na tuachane salama.Nawashukuru sana
Tafuta mwanasheria ili mtengeneze mazingira ya kwamba aende kwao akatibiwe kichaa chake maana ni hatari kuishi nyumba moja na kichaa,hata usalama wa watoto mikononi mwake haupo. Kwa hivyo visa tuseme tu huyo ni kichaa na anaweza akakupika soup.
 
Labda ana hasira ya wewe kukaa nae mda mrefu bila ya ndoa halali.
Hata wakati wa mapenzi alikiwa na hali yakulipuka ovyo ila kwa sasa ndo naona ukatili WA Hali ya juu.Nianwezafanya maguvu nikaingia ndani nikalala lakini naona hatari kubwa kati yetu ndo maana anulizia njia Bora yakupambana
 
Aende kwao sasa
 
Wadau,,ninamke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010..baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015.

Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji yake.Nami niliendelea kugaramia Kila kitu kama baba.

Mwaka 2020, niliamua kukaa naye na akahamia rasmi kwenye nyumba niliyokuwa nomejenga baada ya kufabya kazi kwa zaidi ya miaka 8kutokana na mishahara etc.

Sasa tangia amekanyaga kwangu kwanza anachukia hata watoto wandugu wanaopita kwetu kwenda masomoni.Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.

Katika utafiti wangu nimesikia kunafygu wamemushauri anifanyie vituko ili ni overact harafu anipeleke polisi na mahakamani,,nifungwe harafu nyumba na baathi ya pesa zilizoko benka amabzo sijamwabia zilizo basi zitafishwe kwa kisingizo za haki kupewa mwanamke kutunza yeye na mtoto.

Juzijuzi aliondoka na laptop yangu ikiwa na critical information na sijui Iko wapi inagea kakili kusema kaweka bond apate laki 5 alikuwa nazo ,,nimemuuliza aliiweka bond Kwa nani hataki kabisa kusema.Huyu mwanamke sijatoa mahari sbb tangia kufika niliona vituko hadi nikashangaa hivyo sijapata moyo wakutoa mahari na hataki kuachika.

Wadau naombeni njia ipi Bora yakufanya ili likitokea la kupelekana polisi na mahakamani basi nia yake yakunidhurumu mali chache nilizonazo isifanikiwe na tuachane salama.Nawashukuru sana
Ongea na wanasheria na akizidi mwambie kitaumana na kujikuta akipokea karatasi mbaya iitwayo talaka.
 
Hakuna biashara hapo,,
we kimbia beba vitu vyako tambaa.
Nyumba pangisha hana hati.
Au la piga mabanzi ya kutosha mpeleke kwao mtoto atakuja tu baadae,
Wangu nilipiga sana nikawa naishia polisi, siku nilivyotoroka home nikaacha kila kitu.
Alinitafuta Dar nzima hatukuonana.
Nilionana mtoto akiwa na miaka 8, sasa yuko 26 nakaa naye kibingwa tu.
Mama yake anaumwa huko sijui kalogwa yuko icu.
 
Very tight position na ukizubaa anaweza kuharakisha process kikatili

  • Ni kabila gani ?
  • kwao ni baba au mama mwenye sauti ?
  • Anao ndugu mnaowasiliana ?
  • kuna mtu au watu unaowajua wanaompa mawazo hayo ?
 
Hamisha hela kwenye acc yako
nyumba iunze kwa mama yako
Mwambie mama aende bank akakope hela
hiyo hela tumia kujenga nyumba nyumba nyingine bila yeye kujua
Bank watakuja kuitaifisha kwa kushindwa kulipa den lao.
Hapo atakuacha nenda kapnge miezi3
Nenda kwako ukiwa umezamilia kumuacha halafu oa mwwanamke mwingine
 
Usimpige acha kabisa hamisha vitu vyako vya maana baada ya kukamilisha hizo process zote
Hakikisha mnaandika tarehe za zamani sana za mauziano wewe na mama yako. hatatoboa
 
Back
Top Bottom