Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

Jamaa anywe pepsi big nalipa
 
Nyumna haachiwi na kumpiga matukio ili akimbilie court huko ndio unammaliza chap ...nyumba haimuhusu maana kaikuta
Sijui sheria lakini kama hakuandikisha kuwa kipindi anamuoa alikuwa na mali kazaa inaweza kula kwake.Maana anaweza kusema kabla hajanioa tulikuwa wachumba kwa miaka7 hata kipindi anajenga tumeshirikiana wote muda huo akisema anajipanga.Akihonga na kuhonga kwishaaa
 
Laana kabisa.
 
Ukishajua tatizo umepona.
Umejaa Nia na njama zake, hapo umesha-solve tatizo Kwa 50%
 
Alimony haimaanishi uchukuliwe hivyo vitu unavyosema.
 
Sheria haiangalii mchango wako tu, bali hata hasara uliyosabanisha katika mali za ndoa, and of course mgao si lazima uwe hamsini kwa hamsini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…