lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nina mtoto kamaliza darasa la saba mwaka huu,anatamani sana kuhudhuria na kushuhudia simba day,
Nina uwezo wa kulipua tiketi za 30000 .
Lakini high yangu ni sijui kama utaratibu wa nafasi za kukaa ukoje?
Je tiketi zina namba kama za kwenye sinema?
Je hakutakua na vurugu,usumbufu?
Je tunaweza kupata tiketi na tukakosa nafasi za kukaa kama tukichelewa kufika?
Je tukiwa na tiketi tayari ni lazima kufika asubuhi Sana?
Ushauri tafadhari Wana simba WENZANGU.