Naomba ushauri juu ya simba day 2021 natalia niende na mwanagu

Naomba ushauri juu ya simba day 2021 natalia niende na mwanagu

Asante Sana viol.
Of course mimi ni simba na dogo ni simba ni 12 yrs old,anagram ya kwenda uwanja wa mkapa hajawahi ends,mimi nishaenda hii uwanja mara mbili,sasa sijawahi enda na mtoto natalia kujua kwa watu wenye experience.
Sijawahi kuhudhuria tamasha la simba day ndo nauliza sasa.
Asante.
Mkuu taifa la kuzingatia ni jezi kwenye jukwaa husika ,hata bila mtoto ukivaa jezi ya mpinzani ukaenda jukwaa lao wanakuvua na kulichana ,derby iliyopita Kuna jamaa yeye kavaa Simba mtoto yanga akaja jukwaa la Simba ,aisee walimvua kwa nguvu mtoto jezi ya yanga wakachana chana. Ukikaa jukwaa husika na jezi husika ni amani tupu bila usumbufu ,we mshike dogo mkono ukae naye asikutoroke ,mtoto miaka 12 mkubwa anaelewa vizuri
 
Back
Top Bottom