lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Ana umri gani? Kwanini usimuache afuatilie kwenye TVMod naomba masada kusahihisha kichwa cha habari.
Nilikusudia kuandika natarajia kwenda na mwanagu,imetokea natalia kwenda na mwanagu.
[emoji23][emoji23] mwanagu ndio nini ?? ..Mod naomba masada kusahihisha kichwa cha habari.
Nilikusudia kuandika natarajia kwenda na mwanagu,imetokea natalia kwenda na mwanagu.
Mika 12,Ana umri gani? Kwanini usimuache afuatilie kwenye TV
Da huamini kama kuna typing error,hata hivyo mbona imeeleweka tuu.[emoji23][emoji23] mwanagu ndio nini ?? ..
Hiyo siyo Simba day ni MO day,Nina mtoto kamaliza darasa la saba mwaka huu,anatamani sana kuhudhuria na kushuhudia simba day,
Nina uwezo wa kulipua tiketi za 30000 .
Lakini high yangu ni sijui kama utaratibu wa nafasi za kukaa ukoje?
Je tiketi zina namba kama za kwenye sinema?
Je hakutakua na vurugu,usumbufu?
Je tunaweza kupata tiketi na tukakosa nafasi za kukaa kama tukichelewa kufika?
Je tukiwa na tiketi tayari ni lazima kufika asubuhi Sana?
Ushauri tafadhari Wana simba WENZANGU.
Hii comment ilibidi iwe ya kwanza pale juu.Mi nafikiri ungeenda mwenyewe kwanza ukishazoea mazingira ndo uende naye mwenyewe
Nenda peke yako, sio vizuri kwenda kwenye mikusanyiko na watoto ..Da huamini kama kuna typing error,hata hivyo mbona imeeleweka tuu.
Unajua hizi simu sometimes zinaskip baadhi ya herufi unapoandika?
Nafikiri ungenipa ushauri nilioomba ingependeza zaidi.
Nimeshaenda uwanja wa mkapa Mara mbili peke yangu,Mi nafikiri ungeenda mwenyewe kwanza ukishazoea mazingira ndo uende naye mwenyewe
Kama nilivyosema hapo juu nina uwezo wa kulipua 30000 je sehemu hiyo patajaa Sana pia?Ili upate mahala pazuri ni vyema ukawahi....
Hakuna namba, usumbufu upo ila sio mkubwa.
ila ukilipia VIP hutopata tabu kivile.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Huu sasa ni ushauri nzuri,lakini mbona europe watoto wanaenda,ni sehemu ya outing lkn.Nenda peke yako, sio vizuri kwenda kwenye mikusanyiko na watoto ..
Nina experience ya kwenda alone ila mtoto anatamani kutoka out kwa sababu ni kama tamasha,sijawahi kwenda na mtoto,Yuko 12 yrs na ni muelewa tu.Mi nakushauri nenda mwenyewe tu, bora kangekua kakubwa hata miaka 16 hivi, baadhi ya vitoto vikipotea hata kurudi home haviwezi.
Kunaweza kusiwe na vurugu lakini sehemu za mikusanyiko namna hiyo tena ambayo huna expirience nayo sio vyema kwenda na mtoto.
Asante kwa ushauriNenda nae tu, watu watakuwa wachache hivyo nafasi kama zote zipo.
Asante Sana viol.Nimeenda kwenye derby mara kadhaa hata watoto wa miaka 5 tena kwenye mzunguko .Hakuna vurugu usimwache mtoto akutoroke kaa naye kwa uaangalifu na usimvalishe jezi za njano ,kaa kwenye jukwaa la Simba mkiwa mmevaa jezi zaa Simba au rangi yoyote isipokuwa njano au kijani.
Wanaoletewa vurugu ni wale wanaovaa jezi ya wapinzani halafu wanaenda kukaa jukwaa tofauti. Ila kwa vile ni Simba day bila shaka hamna vurugu maana Simba tu ndo wengi.