Naomba ushauri juu ya simba day 2021 natalia niende na mwanagu

Mkuu taifa la kuzingatia ni jezi kwenye jukwaa husika ,hata bila mtoto ukivaa jezi ya mpinzani ukaenda jukwaa lao wanakuvua na kulichana ,derby iliyopita Kuna jamaa yeye kavaa Simba mtoto yanga akaja jukwaa la Simba ,aisee walimvua kwa nguvu mtoto jezi ya yanga wakachana chana. Ukikaa jukwaa husika na jezi husika ni amani tupu bila usumbufu ,we mshike dogo mkono ukae naye asikutoroke ,mtoto miaka 12 mkubwa anaelewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…