themathematicalmodelling
Senior Member
- Feb 2, 2018
- 174
- 327
Habari wataalamu,
Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel.
Baada ya kufanya research kwa muda mrefu na kufanya cost benefits analysis kwa muda mrefu niligundua Hilux surf ya mwaka kuanzia 1994 kurudi nyuma yenye engine ya 1KZ-TE itanipatia ninachokihitaji.
Tatizo Sina experience na gari yenyewe husika tajwa hapo juu Wala engine ya 1kz-te hivyo naomba ushauri kwa wale wote waliowahi kutumia gari tajwa hapo juuu ili nitafanye maamuzi sahihi(data driven decision).
Nakaribisha inputs zenu kuja kwangu wataalamu.