Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
2,490
Reaction score
2,965
Jaman wana jf naomben sana ushaur wenu kati ya hizo kombination mbili ipi n bora ambayo mnanishauri nikaisome a-level.Katka kuchagua nilianza na egm lakn bado na wasiwas wa kusoma kombi hyo naomba sana ushaur wenu wakuu.
 
Soma kombi ambayo roho yako inapenda. Hujaeleza wasiwasi wako wa EGM unatokana na nini - lakini kama ni hofu ya "future" undokane nayo. Future nzuri ni majaliwa na huweza kupatikana kwa combination yoyote. Cha msingi soma combination uipendayo/uiwezayo zaidi, na jitahidi ili ulewe na kufaulu vizuri.Menin yatafuata.
 
Masikini mimi na darasa la saba. nimeshindwa hata kuchangia.
 
EGM is good...ila ujiandae na Advanced Maths,SIO YA KITOTO
 
Kama unaipenda hesabu soma EGM, kama hauipendi bora usome CBG maana hesabu ya advance inahitaji mapenzi ya dhati. Hapo CBG haijatulia sana labda usome PCB kama imebalance vizuri. Naona cbg haina future nzuri
 
Jaman wana jf naomben sana ushaur wenu kati ya hizo kombination mbili ipi n bora ambayo mnanishauri nikaisome a-level.Katka kuchagua nilianza na egm lakn bado na wasiwas wa kusoma kombi hyo naomba sana ushaur wenu wakuu.

SOMA EGM, but it depend unataka kuwa nani na kusomea vitu gani hapo baadae hili kufahamu haya tafuta guide book ya TCU
 
Kasome CBG NDIO MPANGO MZIMA. EGM POTEZEA
 
Soma egm kama kweli hesabu hauna uvivu nayo... Wawez kusoma cbg lakn jitaidi bam uisome kwa juhudi itakusaidia hapo mble ukitak kujaz kwnd chuo.... Pcm cjui pcb hayo ckushauri yatakupotezea muda na ni VIGUMU SANA KUFAULU TRUST ME
 
Soma ukipendacho.
Ila kwa ushauri tu, CBG kama kichwa chako hakipo vizuri jiandae kwenda diploma ukishamaliza.
EGM ina wide choices ikifika muda wa kuapply for degree
 
Una mpango wa kuwa nani au kufanya shughuli gani ukimaliza elimu yako...

Michepuo hii miwili ina uelekeo tofauti kabisa na kwa mantiki hiyo yakupasa ujue kwanza ndoto zako ni zipi...

Lakini pamoja na hayo kwa muono wangu wa haraka haraka kama hesabu haikusumbui nakushauri ujikite kwenye mchepuo wa EGM...

Kwa namna Tanzania ya sasa ilivyo, wahitimu wa masomo ya mchepuo wa Sayansi wamekuwa wakihaha kupata ajira wenye unafuu kidogo ni madaktari au mafamasia.
 
Soma egm kama kweli hesabu hauna uvivu nayo... Wawez kusoma cbg lakn jitaidi bam uisome kwa juhudi itakusaidia hapo mble ukitak kujaz kwnd chuo.... Pcm cjui pcb hayo ckushauri yatakupotezea muda na ni VIGUMU SANA KUFAULU TRUST ME

Una uhakika na usemacho?
 
wala usimtishe hamna somo rahisi kama pure maths... japo naungana na wewe kwamba EGM is good!
Ulipataje hesabu A Level?(sizungumzii BAM hapa)...simtishi but advanced maths usiichukulie poa kabisa..me nlipata karai langu na o level nlikuwa na A
 
Ulipataje hesabu A Level?(sizungumzii BAM hapa)...simtishi but advanced maths usiichukulie poa kabisa..me nlipata karai langu na o level nlikuwa na A
hongera sana....na hapo uli prove kwamba hakuna relation kati ya olevo na a-levo!!! si ya kuchukulia poa...ila sio ya kuogopa pia!!!
 
Itategemea na shule utakayochaguliwa.Kuna baadhi ya shule hawaruhusu kubadilisha combination au kuna shule zenye aidha CBG lakini hamna EGM.Kama unaenda private school na una mapenz ya dhat na Mathematics bas soma EGM,ila wewe kama ni bishoo,mnyoa kiduku na mvaa mlegezo ujue utadifferentiate constant alafu hutatofautiana na alosoma HGE au HGK.
 
kuwa makini katika selection pia angalia na uwezo wako coz ww ndiyo msomaji bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…