Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

Hahaha yani wewe una mshauri mtu ambaye anasoma bam atumie vitabu vya pure maths,nahisi haujui nini maana ya biologia na kemia

jamaa wangu alikuw anafany hvyo na sasa nasoma nae building economics imejaa mahesabu na mechanics kibao kama hauna idea y pure umekufaa., ila jamaa anajitaidi kwli sisemi asome pure ila kwa topic hzo za bam co mbya arefae some pure questions n concepts
 
kwanza angalia xana n masom yepi unayawez xana maana msuli wa advance ni jiwe la mcngi, ila ushauri wangu uende egm mana ukiwez msuli wa namba basi umeshatok hata kupunguz masomo coz ukitake cbg utaongezea bam na gs ambapo load inakuw kubwa xana.
 
angalia interest yako then toa maamuz ila... Kwa ulimwengu wa sasa ningekushauri soma CBG coz inafaida kubwa sana coz nyingi sana waweza soma hapo baadae maana uatasoma geography ambayo itakupeleka kwenye course ambazo mwenye EGM anaenda na makoz mengne mengi kwa upande wa art... Ila kuna izo chemia na bios zitakusaidia kuchukua coz za afya na zingnezo za sayansi.... So ucfate ugumu wa kombi au wingi wa masomo fuata interest na fikiria badae itakusaidiaje...
 
Soma egm kama kweli hesabu hauna uvivu nayo... Wawez kusoma cbg lakn jitaidi bam uisome kwa juhudi itakusaidia hapo mble ukitak kujaz kwnd chuo.... Pcm cjui pcb hayo ckushauri yatakupotezea muda na ni VIGUMU SANA KUFAULU TRUST ME

Mkuu watu wanatofautiana vichwa,hii mambo pcb ni ya kitoto tuu kwa baadhi ya watu. Umeongea ukweli ila usimkatishe dogo tamaa.
 
Nakushauri kama O-level ulikuwa unaiweza Chemistry na Bios, uende kusoma CBG. Coz ukimaliza, hata ukipata div 3 unaweza kusoma pharmacy au coz ingine ya afya! Never lose CBG
 
Nakushauri CBG ukiiweza itakupa wigo mpana kwenye soko la ajira kwani waweza kwenda afya au mafuta na madini ukizingatia gas ndo hiyo imegunduliwa na wanaitajika wataalamu wale mahela ya serikali, kuwa billionea ni kugusa tu kwenye madini.
 
Back
Top Bottom