Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

Kama unahitaji ajira baada ya chuo soma CBG. Unaweza kusomea fani hizi chuo kikuu, Bsc.nursing,Bsc.midwifry,BVM,Bsc.agriculture,Bsc.EHS,physiotherapy,BMLS,Bsc.chemistry&Bsc.Ed. Hizi ni baadhi ya degrees ambazo CBG anaweza akasoma, mkopo 100% na uhakika wa ajira. EGM hakuna mkopo 100% na tofauti na education utatembea mno na bahasha. Kapige CBG!
 
Jaman wana jf naomben sana ushaur wenu kati ya hizo kombination mbili ipi n bora ambayo mnanishauri nikaisome a-level.Katka kuchagua nilianza na egm lakn bado na wasiwas wa kusoma kombi hyo naomba sana ushaur wenu wakuu.

Nashauri go for CBG..kozi zitokanazo zina wigo mpana wa ajira na kujiajiri!!Unaweza kusomea udaktari wa binadamu sasa ukifaulu vema,kuongezea alizotaja hapo mkuu Mbelewele
 
Apo sasa ndgu ina bidi ujiulize kwanza wakati una ingia darasa la kwanza mpaka kumaliza kidato cha nne ulipendelea kuwa nani? apo najua jibu utaliona vizuri2.kwau pande wangu nakushauri usome EGM
 
Kama unahitaji ajira baada ya chuo soma CBG. Unaweza kusomea fani hizi chuo kikuu, Bsc.nursing,Bsc.midwifry,BVM,Bsc.agriculture,Bsc.EHS,physiotherapy,BMLS,Bsc.chemistry&Bsc.Ed. Hizi ni baadhi ya degrees ambazo CBG anaweza akasoma, mkopo 100% na uhakika wa ajira. EGM hakuna mkopo 100% na tofauti na education utatembea mno na bahasha. Kapige CBG!
naomba unambie cuttrpoint za hzo facult za CBG
 
Wadau naomba mnisaidie kwa anayeifahamu join instruction ya Muyovozi high school naomba anisaidie
 
Anzsha thread au kama vp tafuta namba haya ya head masta.
 
Mimi sijui egm ukisoma unafanya kazi gani ila majua tu uhasibu hapo, lakini cbg ukipiga fresh unaweza kusoma kozi hizi, 1. Medicine, au udakitari 2. Pharmacist. 3. Lab technologist. 4
. Dds doctor of dental surgery , utasoma degree in radiograph and ct scan. Utasoma degree in nursing. Utasoma degree in enviromental health. Utsoma na zote za uhasibu unasoma uzuri cbg ni pure sayansi inaruhusu kusoma chochote .
 
Pga CBG then ukpata cut point kuanzia saba kwny chem&bio only hata ukija muhas ki MD,DDS&PHARM utapokelewa bt make sure una atleast C ya physics olevel...ukimaind bsc nursing,midwifery,medcal lab ni zako pia....EGM haijakaa course zake nyng ni hazijakaa vzur katika soko la ajira pia huwez ukawa geologist..
 
Wasiwasi wa Nini!? Kama hukuvushwa kasome EGM complex number,Differential eqn, Integration……… CBG Unadhani nayo n lele Mama unaitajika kukaza hayo makalio, Bora EGM nimeisoma
 
Nani ka kuambia soko la ajira wanaangalia combination!!? Cha mcngi GPA,ebu soma hiyo CBG uende na GPA yako ya 1.8 afu Mwenzako EGM Aje na ya 5 tuone
 
Back
Top Bottom