Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
Jaman wana jf naomben sana ushaur wenu kati ya hizo kombination mbili ipi n bora ambayo mnanishauri nikaisome a-level.Katka kuchagua nilianza na egm lakn bado na wasiwas wa kusoma kombi hyo naomba sana ushaur wenu wakuu.
Kapige EGM ndio inasoko tz lakn ukisoma CBG wewe jiandae kua mwalimu
naomba unambie cuttrpoint za hzo facult za CBGKama unahitaji ajira baada ya chuo soma CBG. Unaweza kusomea fani hizi chuo kikuu, Bsc.nursing,Bsc.midwifry,BVM,Bsc.agriculture,Bsc.EHS,physiotherapy,BMLS,Bsc.chemistry&Bsc.Ed. Hizi ni baadhi ya degrees ambazo CBG anaweza akasoma, mkopo 100% na uhakika wa ajira. EGM hakuna mkopo 100% na tofauti na education utatembea mno na bahasha. Kapige CBG!
Kaka nisadie kutafutaAnzsha thread au kama vp tafuta namba haya ya head masta.