Naomba Ushauri: Kati ya BMW 3 Series 2006 model na Subaru Legacy B4 Sports 2006 model

Naomba Ushauri: Kati ya BMW 3 Series 2006 model na Subaru Legacy B4 Sports 2006 model

Hebu vuta BMW ujenge heshima town,haijalisha litakula mafuta vipi we nunua tu
Kuna bmw moja hivi e38 7series 740i au 750i ni mwisho wa mchezo.Japo ya kitambo kido kwenye 2004.Ni executive car mfano ni kwenye ile movie ya transporter 1.
 
Mimi nitanunua BMW X3 kwa ajili ya Status (show-off kwa mademu) tu. Yaan naendesha weekends tu siku zingine za wiki natembelea IST
 
Write your reply...kama mkwanja upo vuta bmw, ila kwa ushauri wangu na vigezo ulivyovitaja kamata subaru hutajutia.
 
Vuta chuma bmw 750LI model hata ya 2005,chuma kina Luxury zote+Hp 370.

Shida ya 7-series ni reliability tu.
Kuna bmw moja hivi e38 7series 740i au 750i ni mwisho wa mchezo.Japo ya kitambo kido kwenye 2004.Ni executive car mfano ni kwenye ile movie ya transporter 1.
 
Hahaaaaa range rover reliable? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha ajabu kuna mtu noilimwona Dodoma na BMW M3 E90 pia jana nimeona 535i...truth be told,magari yote ya ulaya kabla ya 2012 hayana ubora wa kudumu kabisa kwasababu walikua wanakimbizana na Lexus technologies ambao waliweka vitu vingi sana kwnye magari yao mwanzoni mwa 2000's. Kuna jamaa anadai rafiki yake ana Lexus GS300 imeshavuka km 1,000,000 kwenye odometer na kuanza upya lakini haisumbui kabisa. Nakushauri uchukue Subaru BMW, Benz, na mwengine waachie wenyewe ila exception ni Range Rover. Model za 2012 na kuendelea wanadai ziko reliable sana kiasi cha kupewa nyota 9 kati ya 10
 
Back
Top Bottom