Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

kaseva

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
473
Reaction score
305
Wakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati
4. Kuvumilia barabara zetu
5. Spare
6. Mafuta
7. Muonekano mzuri
N.k
Naomba ushauri wako
 
Wenye vi Kirikuu vyetu ngoja tunyamaze tu hapa.
 
Tafuta premio old model hio ndio gari iliyobaki inayovumilia ulivyoandika hapo juu
 
Back
Top Bottom