umerogwa wewe
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 417
- 566
aaaaaah usiangalie muonekano wa tax mkuu...Naipenda ila kinachonichanganya jamaa angu mmoja kaniambia imekaa kama tax
Haha haaaa
And IST naiona kama ina mabati malaini sana kuimili ukata wa magu wa kukaa nayo hadi 2025
mimi nimemiliki gari zote hizo mbili carina iko juu