Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Naipenda ila kinachonichanganya jamaa angu mmoja kaniambia imekaa kama tax
Haha haaaa
And IST naiona kama ina mabati malaini sana kuimili ukata wa magu wa kukaa nayo hadi 2025
Ukikaa sana gari moja utaanza kufanana nayo! Watch it!
 
Wakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati
4. Kuvumilia barabara zetu
5. Spare
6. Mafuta
7. Muonekano mzuri
N.k
Naomba ushauri wako
Nunua Subaru inasifa zote hizo.
 
Kuna child lock
Hapana nilimaanisha mlango wa stail hiyo, siyo durable huaribika mapema rejea gari hili nitakalo shauriwa hapa ni la hadi 2025 na nanunua wiki hii.
Labda wasitumie polisiccm na katiba ibadilishwe
 
36726d276f4911cf8ad963b2517f9cf7.jpg
chukua lexus hii
 
Naona kuna gari umeshaipenda maana unashauriwa unakuwa mbishi! Unafanya kazi gani labda tuanzie uko.
Siyo mimi nimependa mkuu wengi hapa wanasema Carina T.i na hapa nilifata ushauri kati ya T.I na IST yote nayapenda.
Sijaona aliyeponda T.I,
Mimi ni mfanya biashara mdogomdogo mkuu
 
Wakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati
4. Kuvumilia barabara zetu
5. Spare
6. Mafuta
7. Muonekano mzuri
N.k
Naomba ushauri wako
Ivi unamaanisha gari hiii
bf303ff9d8bbd1f0acd2ef6cdcf32245.jpg


Wasikudanganye hawa
Hii gari wakati wake ushapita. Bora ata IST
Duh!!!! Kweli kuna wa2 wanataste za ajabuajabu
Mkuu hii gari fation ishapitwa

Kama sio hii poa ila kama ni hii utajutia maisha
Bora ununue
Allion
Au premio
Au subaru
Au zile cololla mpya za mil9
Au subaru

Bora mafuta yawe juu kidogo ila iwe haikusumbui na shoo iwe nzr kuliko kuwa na mkweche
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu
 
Back
Top Bottom