Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Ivi unamaanisha gari hiii
bf303ff9d8bbd1f0acd2ef6cdcf32245.jpg

Wasikudanganye hawa
Hii gari wakati wake ushapita. Bora ata IST
Duh!!!! Kweli kuna wa2 wanataste za ajabuajabu
Mkuu hii gari fation ishapitwa

Kama sio hii poa ila kama ni hii utajutia maisha
Kwanini mkuu?
 
Carina TI roho ya Paka ... Acha kufananisha Carina TI na Vitu vya Kijinga...

Go For Carina ... Mimi nikimuona mwanaume mzima amejipinda ndani ya KiVitz, Ist na vibaby walker vingine Huwa natamani niwe " I WISH I COULD BE TRAFFIC "
You are right!
Natamani nimuone lemutuz ndani ya vitz!
 
Mshana jr
I.S.T. na carina T.I. ipi boomba? Naona unazurura zurura tu hapa halafu umekuwa nutro
I. S. T is more ladish (sorry to say this) you may opt for Carina after all ni more durable
 
Kwanini mkuu?
Hii gari muonekano wake unapitwa na wakati
Enz zake ilikuwa Chaser na mark II zile
Sahv nendana na wakati mkuu
Af zinaanza kupotea
Hiyo ndo kuna wa2 wanaziuza mpaka mil2 mitaan, ukiona2 hivi unajua kabisa wakati ushapititwa

Bora utafte gari nyingine nzr asee usikurupuke japo moyo unataka ukurupuke

Kuna gari kali nzri
We una sh ngap ya kununua gar kwanza

Japo ist nayo ni yakidem
 
Kwa kuangalia magari niliyotaja unaweza jua uwezo wangu kirahisi mkuu. Sidhani kama ni vema nikasema nina sh ngapi ila kwa kuangalia magari niliyotaja unawezapata picha
Ila nauchukua ushauri wako mkuu wangu
 
Hii gari muonekano wake unapitwa na wakati
Enz zake ilikuwa Chaser na mark II zile
Sahv nendana na wakati mkuu
Af zinaanza kupotea
Hiyo ndo kuna wa2 wanaziuza mpaka mil2 mitaan, ukiona2 hivi unajua kabisa wakati ushapititwa

Bora utafte gari nyingine nzr asee usikurupuke japo moyo unataka ukurupuke

Kuna gari kali nzri
We una sh ngap ya kununua gar kwanza

Japo ist nayo ni yakidem
Hiyo paragraph ya mwisho ndipo ulipo!
Usimsumbue mleta mada kwa kuwa alikuwa anaomba ushauri BTN TI & ist, hiyo biashara ya uajenti tafuta mwingine!
 
Kwa factore hzo chukua carina TI.
Kuna watu nawajua wanazo tangu 2009 mpaka leo na bado zipo kwenye hali nzur. Carina imekaa mda mrefu sokon bila kupitwa na wakat.
 
Kwa factore hzo chukua carina TI.
Kuna watu nawajua wanazo tangu 2009 mpaka leo na bado zipo kwenye hali nzur. Carina imekaa mda mrefu sokon bila kupitwa na wakat.
Ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom