Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata
1: Bachelor of Arts in Economics
-Ardhi university
2: Bachelor of Economics and finance
-IFM
Nilisoma HGE ufaulu wangu ni 1.8
(History B, Geography C, Economics C,Bam D)
Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaid. Nahitaji kuconfirm chuo kwa sasa hivyo muongozo wenu nahitaji wakhttps://www.jamiiforums.com/forums/-/create-threadubwa zangu nipo njia panda. Natarajia majibu ya kisomi zaidi kutoka kwenu naomba sana