Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
wadau naomba overview ya biasha ya simu na vifaa vyake (phone and accessories) katika maeneo yafuatayo:
1.Mtaji wa kuanza nao,je mtaji wa chini kabisa ninoweza kuanza nao ni kiasi gani?je milioni tano yaweza kufaa kuanza hii biashara?
2.Faida itokanayo na biashara hii,je inalipa?
3.Ugumu wa biashara hii
Natanguliza shukrani za dhati kabisa.