Naomba ushauri kuhusu biashara hii

Naomba ushauri kuhusu biashara hii

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
wadau naomba overview ya biasha ya simu na vifaa vyake (phone and accessories) katika maeneo yafuatayo:
1.Mtaji wa kuanza nao,je mtaji wa chini kabisa ninoweza kuanza nao ni kiasi gani?je milioni tano yaweza kufaa kuanza hii biashara?

2.Faida itokanayo na biashara hii,je inalipa?

3.Ugumu wa biashara hii

Natanguliza shukrani za dhati kabisa.
 
subiri kesho uzi utajaa tu wadau wanaelekea maskani kupumzika hasa kwa dar tupo kwa folen mida hii
 
heading za namna hii zinachosha sana
siku nyingne heading ibebe lengo la thred ili kumpa utayari msomaji
 
ningeandika moja kwa moja kuna uwezekano usingesoma uzi huu,nmekupata kiu ya kutaka kujua nn kinazungumziwa ndan na utoe mchango wako kwan ni muhimu sana.Thanx for visiting
 
Wengine watakuja,lakini 5m ni nyingi sana kwa biashara hii.
Ningehsauri pia ufungue sehema hakuna ushindani napia tafuta fundi wa sim awepo hapo.
Unajua mafundi wa sim ndio wateja wako,sasa kama unavifaa na fundi yupo pale basi wateja watatumia duka lako na ku save muda wao wa kufuata kifaa mbali.
Lakini Bila fundi sehem yabiashara hiyo inakuwa ngum kiasi,maana mamboya mbisahara hii yanahitaji mtu mwenye uelewa kidogo mambo ya ufundi wa sim
 
ahsante nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Ushauri wa kujenga sana huu.
 
Back
Top Bottom