INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
Location wapiWakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Time nunua Bajaji 5 mwaka 2021. Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?. Wenye uzoef biashara hii mnaifanyaje?
Kikao cha dharura hapa mwisho kimefamywa na mimi nilikuwepo, hizi hela za mikopo ya vijana. Nimecheka Sana hesabu zao hawa jamaa. Mimi nataka nifanye kitu genuine kwanza wamalize mkataba tuziuze tugawane hela.Mkuu ur the outside watcher?
If yes je wewe umetafutwa kutoa ushauri?
Uo mradi wenu umekosa mikataba ambayo hipo strictly
So Ushauri wangu Fanyeni kikao Cha dharura kwanza
Hili naomba nilipekue. Naona kama Msasani na juu juu Masaki-Coco kutafaaTafuteni vijiwe vizuri hiyo mil2 mtalipa zileteni kariakoo hizo bajaji. Zifanye Kazi kwa mfumo wa Uber Barabara nzuri naamini zitadumu na hela mtapata
Mkuu hizo bajaji zilete KariakooKikao cha dharura hapa mwisho kimefamywa na mm nlikuwepo hizi hela za mikopo ya vijana. Nimecheka Sana hesabu zao hawa jamaa. Mm nataka nifanye kitu genuine kwanza wamalize mkataba tuziuze tugawane hela
Hili niliambiwa kumwaga oil kila wikiNa service ya bajaj mnafanya baada ya muda gan
Nakutumia namba pmNipo geita soon narud dar ila biashara kubwa niloipanga kufanya ni ya bajaj coz naijua vizur
Kama hutojali naomba tuwasiliane tupeane ushauri kdgo
MbandeZipo maeneo gani!
Hili naomba nilipekue. Naona kama msasani na juu juu Masaki-coco kutafaa
Ni njia nzuri mie kwangu ni majimatituMbande
Mbande mkuu. Mimi niliuliza mpaka makabila yao wanachama ili nipate picha ya vikao vyao vyoteLocation wapi
Sawa, ngoja tujadili. Nitakurudia Kaka.Mkuu hizo bajaji zilete kariakoo
Hizo bajiji mlinunua mpya au used je Zina muda gani?Mbande mkuu. Mm niliuliza mpaka makabila yao wanachama ili nipate picha ya vikao vyao vyote
Yani zimefanya kazi usiku na mchana sioHizo Ngoma Kama mliwapa vijana Maana yake zilikuwa hazipumziki so wameziua maksudi kwa tamaa zao.
Ndo maana yake Mimi naelewa Sana hizo Kazi vijana hawana HURUMAYani zimefanya kazi usiku na mchana sio
Sasa mkuu unadhan wapi panafaa. Huku barabara ni vumbi tu kwenda kiponzaNi njia nzuri mie kwangu ni majinatitu
Hesabu hinachukuliwa kila siku bajaji ziko 5 mpaka Sasa moja imeamka Leo tatu ziko chakaBajaj zipo ngap!
Kuhusu hesabu mkuu chukua kwa siku usikubali kuchukua baada ya siku 3 au wiki
Sawa bajaji zimenunuliwa mpya Kaka hela za mkopo manispaaHizo bajiji mlinunua mpya au used je Zina mda gani?
Bora uchukue Bajajai moja uifanyie service then uilete huku kariakoo kuliko huko kwenu kivule hamna hata Rami