Naomba ushauri kuhusu Biashara ya Bajaji

Naomba ushauri kuhusu Biashara ya Bajaji

Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Time nunua Bajaji 5 mwaka 2021. Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?. Wenye uzoef biashara hii mnaifanyaje?
Location wapi
 
Mkuu ur the outside watcher?
If yes je wewe umetafutwa kutoa ushauri?

Uo mradi wenu umekosa mikataba ambayo hipo strictly

So Ushauri wangu Fanyeni kikao Cha dharura kwanza
Kikao cha dharura hapa mwisho kimefamywa na mimi nilikuwepo, hizi hela za mikopo ya vijana. Nimecheka Sana hesabu zao hawa jamaa. Mimi nataka nifanye kitu genuine kwanza wamalize mkataba tuziuze tugawane hela.
 
Back
Top Bottom