Naomba ushauri kuhusu Biashara ya Bajaji

Naomba ushauri kuhusu Biashara ya Bajaji

Kwa mtu anaetaka kuingia kweny biashara ya bajaji kwa kumuachia mtu, unamshaurije?
Usimamizi mkuu, mkataba ukae unyooke kwelikwli yani kijana akishindwa kuleta siku 3 anapigwq termination hadi pale ambapo kutabainika kuwq na sababu za msingi sana kuumwa au msiba.

Pia, inatakiwq bajaji ilale kwa bosi husika aje asain asubuhi ili jioni ailete pia asain
 
wakati unaanza ungeomba ushauri bajaji ulizo nunua kwa mkopo nilazma usimamizi wake uwe mkubwa alafu ungezitoa kwa mkataba matengenezo juu ya ulie mkabizi akiamua kupitisha kwenye makorongo atajua mwenyewe wewe nilimradi upewe chako akishimndwa mkataba arudishe kama ulivyo mkabidhi
 
Natafuta member siriaz wawili, tuna kikundi kina watu wanne tayari tukisajili tukaombe mkopo manispaa!
Memba atalipa fee ya kujiunga na atapewa katiba aisome. Fedha za memba hawa wawili zitatumika kufungua akaunt ya benki ya kikundi!
Mawasiliano nicheki Dm
 
Umeshawapata au bado kuna nafasi
 
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021.

Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?

Wenye uzoefu biashara hii mnaifanyaje?

View attachment 2462450
Nina jamaa yangu mtaalam wa hayo mambo nikikaa nae story zake ni bajaj ni mwenyekit wa madereva bajaj sijui ilala sijui wap nichek nikunge nae huyo ni mr kila kitu kwenye bajaj kuuza kununua ufund kupata dereva nk 0712505049
 
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021.

Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?

Wenye uzoefu biashara hii mnaifanyaje?

View attachment 2462450
Uza kama depreciation value ili ufanye top up baada ya kubakisha robo.
 
Back
Top Bottom