Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Kwa mtu anaetaka kuingia kweny biashara ya bajaji kwa kumuachia mtu, unamshaurije?Nipo mkuu Lete maneno. NGO yako inaendeleaje hapo goba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtu anaetaka kuingia kweny biashara ya bajaji kwa kumuachia mtu, unamshaurije?Nipo mkuu Lete maneno. NGO yako inaendeleaje hapo goba
Usimamizi mkuu, mkataba ukae unyooke kwelikwli yani kijana akishindwa kuleta siku 3 anapigwq termination hadi pale ambapo kutabainika kuwq na sababu za msingi sana kuumwa au msiba.Kwa mtu anaetaka kuingia kweny biashara ya bajaji kwa kumuachia mtu, unamshaurije?
Umeshawapata au bado kuna nafasiNatafuta member siriaz wawili, tuna kikundi kina watu wanne tayari tukisajili tukaombe mkopo manispaa!
Memba atalipa fee ya kujiunga na atapewa katiba aisome. Fedha za memba hawa wawili zitatumika kufungua akaunt ya benki ya kikundi!
Mawasiliano nicheki Dm
Nina jamaa yangu mtaalam wa hayo mambo nikikaa nae story zake ni bajaj ni mwenyekit wa madereva bajaj sijui ilala sijui wap nichek nikunge nae huyo ni mr kila kitu kwenye bajaj kuuza kununua ufund kupata dereva nk 0712505049Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021.
Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?
Wenye uzoefu biashara hii mnaifanyaje?
View attachment 2462450
Tayar bosUmeshawapata au bado kuna nafasi
Uza kama depreciation value ili ufanye top up baada ya kubakisha robo.Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021.