Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nasubiri experience kutoka kwa wadauTuko hapa,tunaangalia majibu.
Huku Kuna wauza dagaa kweli...?Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
Matajiri na maskini wote wapoHuku Kuna wauza dagaa kweli...?
Si tulishakubaliana kuwa JF ni ya matajiri 😅
Wa mkoa gani wanalipa vizuri mwanza au wapi?Dagaa wanalipa hasa dagaa nyama 😋
Ni kweli mkuu ila tunaangalia bidhaa ambayo inatembeaKila biashara inalipa