E ellyl Member Joined Jul 7, 2024 Posts 85 Reaction score 127 Aug 25, 2024 #1 Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Aug 25, 2024 #2 Tuko hapa,tunaangalia majibu.
E ellyl Member Joined Jul 7, 2024 Posts 85 Reaction score 127 Aug 25, 2024 Thread starter #3 ki2c said: Tuko hapa,tunaangalia majibu. Click to expand... Na mimi nasubiri experience kutoka kwa wadau
ki2c said: Tuko hapa,tunaangalia majibu. Click to expand... Na mimi nasubiri experience kutoka kwa wadau
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 Aug 25, 2024 #4 Dagaa wanalipa hasa dagaa nyama π
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 Aug 25, 2024 #5 ellyl said: Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake? Click to expand... Huku Kuna wauza dagaa kweli...? Si tulishakubaliana kuwa JF ni ya matajiri π
ellyl said: Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake? Click to expand... Huku Kuna wauza dagaa kweli...? Si tulishakubaliana kuwa JF ni ya matajiri π
E ellyl Member Joined Jul 7, 2024 Posts 85 Reaction score 127 Aug 25, 2024 Thread starter #6 Nyamwi255 said: Huku Kuna wauza dagaa kweli...? Si tulishakubaliana kuwa JF ni ya matajiri π Click to expand... Matajiri na maskini wote wapo
Nyamwi255 said: Huku Kuna wauza dagaa kweli...? Si tulishakubaliana kuwa JF ni ya matajiri π Click to expand... Matajiri na maskini wote wapo
E ellyl Member Joined Jul 7, 2024 Posts 85 Reaction score 127 Aug 25, 2024 Thread starter #7 Nyamwi255 said: Dagaa wanalipa hasa dagaa nyama π Click to expand... Wa mkoa gani wanalipa vizuri mwanza au wapi?
Nyamwi255 said: Dagaa wanalipa hasa dagaa nyama π Click to expand... Wa mkoa gani wanalipa vizuri mwanza au wapi?
A Attack JF-Expert Member Joined Jun 29, 2022 Posts 894 Reaction score 1,608 Aug 25, 2024 #8 Kila biashara inalipa
E ellyl Member Joined Jul 7, 2024 Posts 85 Reaction score 127 Aug 25, 2024 Thread starter #9 Attack said: Kila biashara inalipa Click to expand... Ni kweli mkuu ila tunaangalia bidhaa ambayo inatembea
Attack said: Kila biashara inalipa Click to expand... Ni kweli mkuu ila tunaangalia bidhaa ambayo inatembea