P Point of No Return 19 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2023 Posts 203 Reaction score 472 Mar 13, 2024 #1 .
P Pre form one Member Joined Dec 20, 2023 Posts 28 Reaction score 46 Mar 13, 2024 #2 Kiluvya madukani yatapatikana kwa uhakika na faida IPO nzuri tu mahala pale Wana punguzo kwa anayenunua jumla.
Kiluvya madukani yatapatikana kwa uhakika na faida IPO nzuri tu mahala pale Wana punguzo kwa anayenunua jumla.
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Mar 13, 2024 #3 Naweka kambi
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Mar 13, 2024 #4 Ubungo riverside yamejaa ya jumla nenda kapate muongozo. Mchawi freezer lako TU na umeme wa tanesco. Labda uwe na standby ya friji za solar
Ubungo riverside yamejaa ya jumla nenda kapate muongozo. Mchawi freezer lako TU na umeme wa tanesco. Labda uwe na standby ya friji za solar
dicloppa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 278 Reaction score 407 Mar 13, 2024 #5 Biashara ya maziwa fresh haina tofauti sana na biashara ya utumbo kuharibika ni kugusa tu Fanya biashara ya mtindi inalipa ila uwe na freezer ya uhakika.
Biashara ya maziwa fresh haina tofauti sana na biashara ya utumbo kuharibika ni kugusa tu Fanya biashara ya mtindi inalipa ila uwe na freezer ya uhakika.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Mar 13, 2024 #6 Point of No Return 19 said: Wapendwa..... Nataka kutafuta kijiwe kwaajili ya kuafanya biashara ya maziwa mtindi na fresh Hapa Dar yanapatikana wapi kwa bei ya jumla? Kwa aliyewahi kufanya je inalipa? Changamoto zake ni zipi? Na kwakuanza natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani? Click to expand... Juzi nilimuuliza Muuzaji mmoja alinambia jina ila nimesahau....waulize wauzaji
Point of No Return 19 said: Wapendwa..... Nataka kutafuta kijiwe kwaajili ya kuafanya biashara ya maziwa mtindi na fresh Hapa Dar yanapatikana wapi kwa bei ya jumla? Kwa aliyewahi kufanya je inalipa? Changamoto zake ni zipi? Na kwakuanza natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani? Click to expand... Juzi nilimuuliza Muuzaji mmoja alinambia jina ila nimesahau....waulize wauzaji
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Mar 13, 2024 #7 Pre form one said: Kiluvya madukani yatapatikana kwa uhakika na faida IPO nzuri tu mahala pale Wana punguzo kwa anayenunua jumla. Click to expand... Yeah Kiluvya.....Thank you
Pre form one said: Kiluvya madukani yatapatikana kwa uhakika na faida IPO nzuri tu mahala pale Wana punguzo kwa anayenunua jumla. Click to expand... Yeah Kiluvya.....Thank you