Point of No Return 19
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 203
- 472
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi nilimuuliza Muuzaji mmoja alinambia jina ila nimesahau....waulize wauzajiWapendwa.....
Nataka kutafuta kijiwe kwaajili ya kuafanya biashara ya maziwa mtindi na fresh
Hapa Dar yanapatikana wapi kwa bei ya jumla?
Kwa aliyewahi kufanya je inalipa?
Changamoto zake ni zipi?
Na kwakuanza natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani?
Yeah Kiluvya.....Thank youKiluvya madukani yatapatikana kwa uhakika na faida IPO nzuri tu mahala pale Wana punguzo kwa anayenunua jumla.