Naomba ushauri kuhusu biashara ya maziwa mtindi na maziwa fresh

Naomba ushauri kuhusu biashara ya maziwa mtindi na maziwa fresh

Ubungo riverside yamejaa ya jumla nenda kapate muongozo.
Mchawi freezer lako TU na umeme wa tanesco.
Labda uwe na standby ya friji za solar
 
Biashara ya maziwa fresh haina tofauti sana na biashara ya utumbo kuharibika ni kugusa tu

Fanya biashara ya mtindi inalipa ila uwe na freezer ya uhakika.
 
Wapendwa.....

Nataka kutafuta kijiwe kwaajili ya kuafanya biashara ya maziwa mtindi na fresh

Hapa Dar yanapatikana wapi kwa bei ya jumla?

Kwa aliyewahi kufanya je inalipa?

Changamoto zake ni zipi?

Na kwakuanza natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani?
Juzi nilimuuliza Muuzaji mmoja alinambia jina ila nimesahau....waulize wauzaji
 
Back
Top Bottom