Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Kosa la kwanza ni kumuweka mbali na unapokaa..mimi sijaona kosa la huyo mwanamke,kumbuka nae ni binadamu sio roboti.Ana hisia kama wewe ulivyonazo,kitendo cha wewe kuwa nae mbali lazima aingie majaribuni.Ningemshutumu mwanamke kama angefanya hayo wakati mnaishi pamoja,ila kwa kukaa nae mbali hilo swala haliepukiki lazima aliwe tu.Ushauri wangu,kama kazi yako ni ya mbali na hakuna uwezekano wa kuishi nae karibu,kaa nae chini na Muongee.Mwambie tambua wewe ni mke wangu na mimi mumeo nakupenda sana ,hiki unachofqnya kinqniumiza sana,ila kwa sababu ya umbali wetu kuna wakati najua unashikwa na unakuwa hauna namna.Nakuomba chonde chonde iwapo itatokea hilo tumia kinga maana magonjwa ni mengi siku hizi ila sio kwa kusema hivi ndio uanze kujiachia ,hapana namaanisha ufanye kwa dharula tu pale unapozidiwa.Hii itasaidia kujiweka safe kati yenu maana hata usipomwambia hivyo utagongewa tu,bora umwambie na umpe tahadhari.
 
Viumbe Ke vyenyewe huwa havijui kabisa akili zao zinataka nini, kaza fuvu sasa kuviridhisha hivyo viumbe ili ununue gunia mbili za mkaa na kwenda kuozea jela.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Daah mada kama hizi huwa zinanifariji sana juu ya msimamo wangu wa kuachana kabisa na fikra za kuoa maana kwa ninavyojifahamu kama huyo ndio angekuwa mke wangu ni either angekuwa amesharudishwa kwao permanently ama yuko mahala pema peponi.
Umetisha Sana mkuu 😂
 
Story nyingi za familia nashindwa kuelewa ni za kutunga au kweli. Tukio la kweli na la uchungu kiasi hicho unaomba ushauri upi wakati mwisho uamuzi utabakia wewe unaonaje.
 
....kosa lilianzia hapa mkuu. Kwani huko Lindi hakuna shule?? Vp mikoa ya jirani na Lindi??
Hili jamaa litakuwa lizinzi, lilimrudisha mke ili litanue na michepuko sasa linaanza kulialia! Yaani mke ukae miezi mitatu utamkuta kweli? Ina maana huko Lindi hakuna shule za maana? Kwa nini basi asimpeleke Mtwara kama Lindi hapafai?
 
Mwanamke mzinzi hana msamaha kamwe, acha ujinga bro unaomba ushauri wa nini?
 
Makosa ni ya kwako hapakuwa na sababu ya msing ya kuwafanya muishi mbali mbali nadhani hayo matokeo uliyatarajia ndo maana ulikuwa unasafiri umbali mrefu ukidhani unakuja kumpa haki yake kumbe mwenzako kashajiongeza. Ushauri wang msamehe maisha yaendelee. Mchukue mkeo ukaishi nae pamoja na wototo.
 
MKEO HANA KOSAAA...WEW NDO MJINGA ULIPOKUBALI ARUDI ARUSHA. Kwani unapoishi why yeye asingeweza kuishi?? ndoa za long distance ni uzinziii tu hakuna muaminifuuu hata wewe huko umewekaaa sanaa mabinti wengine.
 
Huyo muhuni Dereva hawezi muacha, ataendelea kuipiga mpaka ichubuke...pole mwamba.
 
Mtafanya mwenzenu afanye mauaji 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…