Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Kwa sisi wazee wa zamani kuchapiwa siri ya ndani....
Tunza familia ndio mkeo huyoooo.....
 
Oh kumbe Omopa mpuuzi tu anatunga:-


 
Mwanamke akikupiga panga ya kichwa ama kisu ya tumboni bahati nzuri ukapona, huyo msamehe tu muendelee kulea watoto ama muendelee na penzi lenu tena ongeza mapenzi zaidi ila akichepuka huna sababu ya kujiuliza mara 1.

Mwanamke wako anaechepuka ni hatari kuliko angekupiga panga ya kichwa.

Mwanamke wako amekosa heshima zaidi ameleta mwaanaume aje kumtindulia nyumbani kwako, sebuleni kwako na chumbani kwako, huyo ni hatari kuliko nyoka. Mwanamke ana ujasiri wa kuleta mwanaume chumbani kwako, aje kutinduliwa nyumbani kwako na bado unajiuliza maswali mengine?

Kitakachofuata watapanga na huyo dereva wakuondoe Duniani ili wale maisha vizuri.
 
Mlee tu watoto.
 
Kulalake, wananwake Mungu anawaona. Jamaa anavyoandika tu unajua kabisa huyu ni mstaarabu, ila bado kapigiwa,, je sisi tusioeleweka kama tunapenda au tunajaribu inakuwaje????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…