Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Oh kumbe Omopa mpuuzi tu anatunga:-

Ndo raha ya jf unaweza amua tu unyweshe watu chai ya pilipili na wakalia kweli machozi yanatiririka.....hadi raha
 
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.

Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho

Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.

Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.

Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.

Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.

Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja

Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..

Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto

Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..

Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Piga chini haraka, huyo hafai kuwa mke.
 
Piga chini anza upyabado mapema baada ya muda utasahau na kuwa na furaha tena ila ukiendelea na huyo mkeo wa sasa maisha yako yote hutakuwa na furaha ukimwangalia tu unakuwa wabaridi..
Ameshavunja agano teyari.
 
Kila siku tunaimba huku, mwanamke si wa kumwonea huruma hata kidogo.

Akikusaliti unamwacha, on the spot.

Maana kumbuka kuna muda ilikuwa ikichomoka, Anairudishia mwenyewe.
 
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.

Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho

Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.

Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.

Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.

Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.

Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja

Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..

Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto

Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..

Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Huna mke hapo,anza moja
 
Hakuna namna unaeza pambana na changamoto kama hii isipokuwa kukubali kuwa huo ndio uhalisia wa maisha, pia kubali kuwa hauwezi kutoka kny hiyo ndoa ikiwa tayari mna watoto.
Na jukumu ulilo nalo kwa sasa nikujitransform kimtazamo (mindset) kutoka wewe wa zamani na kuwa wewe mkomavu.

Tafuta muda umuite, uongee nae au unaeza kumchartisha kwa watsap kishkaji like,
"Mke wangu, nimeona tuongee juu ya maisha yetu, la kwanza nimeona hapa swala si kukusamehe, bali kuongea mm na ww kwa pamoja tuone tunatoka wapi tunaenda na wapi."
"Jambo la msingi ni kwamba lazima sote tujue tayari tuna watoto ambao harakati zozote za maisha yetu ziwe positive au negative zinawaathiri moja kwa moja watoto wetu vivyo hivyo, ndio kusema hapa tungekuwa hatujazaa basi ilihitaji dakika chache kuachana kila mmoja wetu akashika lake"
"Lakini kwa vile tumeshazaa haiwezekani tena tukaachana, lazima tutafute njia ya kuondokana na sintofahamu iliyopo sasa na tuendelee kuwa positive baina yetu ili matunda yake yawe ni kuwalea vyema watoto wetu."
"Kwa kuanzia nashauri tusiongelee kabisa hiki kilichotokea, tuongelee tu hatima yetu, tujitafute tulipopoteana tujipate halafu maisha yaendelee"

Ishia hapo usiongeze neno tena bali muulize yeye ana maoni gani, kisha endelea kuchart nae kupitia maoni yake.

La kuzingatia:
Mwelekeo wa mazungumzo yenu yanaweza kuwa ya ufanisi sana ikiwa mtayafanya kwa kuchart kwa kuwa inakupa uwezo wa kufikiri kwa ndani na kuongea kutoka ndani kabisa pia itawasaidia kutafakari cha kusema hivyo kufanya mazungumzo yenu yawe ya ufanisi zaidi.
Pia shika usukani wa mazungumzo yenu yawe ya kutengeneza bond na si kutengeneza tension.
Hatua ya pili,
Kama baada ya kuchart kwa muda mtakosa cha kuongea bas ANZA MAISHA YA VITENDO, fanya vitu vya kumuonyesha upendo mkeo, fanya vitu km vile hakuna kilichotokea.
Mfano nakupa mmoja bure mwingine utalipia 😆,
-unaeza chukua embe na kisu ukamfata jikoni ukaanzisha story fupi au kuulizia chochote mradi unamsemesha ukaosha na kukata embe vipande na kuanza kula huku unamsemesha then ukacoment kuhusu embe kuwa ni tamu then ukacoment kumpa na yeye, akikataa mwambie umlishe, akikataa mwambie kwa utani "maembe yanasaidia kuongeza nyege", hapo utaanza kumvutia kingono.
Niendelee hapa au nije DM?
 
Mkuu mi nataka kujua lengo lako la wewe kufanya hivi..?
maana huyu unaenitag nione komenti zake simjui, si mpenzi wangu kama unavyofikiria! so kwanini unafanya hivi..??

halafu nakushangaa maana unavyofanya si mambo yakiume haya!, ama unamiaka 15 ndugu yetu..?😅
 
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.

Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.

Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi yetu yalikuwa Arusha, nikapata kazi na kupangiwa kituo lindi, tukahamia huko wote, tutafanikiwa kupata watoto wawili, lilipofika suala la shule kwa watoto tukakubaliana kwa pamoja kuwa arudi Arusha kwa ajili ya watoto wakati nikipambana nipate uhamisho

Basi nikaona asikae Bure nikamfungulia biashara ili aweze kujitegemea ya mtaji mzuri tu hiyo tulifanga 2021.

Mwaka 2022 akaanza malalamiko mengi yasiyo na msingi ya kunituhumu kuwa nina wanawake nje,mara zote nasafiri Kila baada ya miezi miwili kwenda nyumbani kwa ajili ya kumpa haki yake na kuwaona watoto. Lakini huwa anakuwa hisia zake ni ndogo sana wakati wa kusex hata nikimuandaa kwa muda mrefu, nikaamua Hadi kutumia KY ili nisimchubue.

Lakini mwaka huu mwezi wa Saba nikiwa nyumbani alipigiwa simu akakataa kupokea ,nilipo mlazimisha akakata..Nikapiga Ile namba ilivyopokelewa tu akaniita baba Fulani, Ile simu ikakatwa.

Nikaona niangalie usajili. Nikakuta imesajiliwa kwa jila la franc, nikaona nikague tena simu yake nikakuta Kuna jina amesave franc 2 nilipo angalia usajili nikakuta namba zile zile nilivyomwambia ni nani akasema ni mteja wa m pesa.

Kesho yake alivyoamka akawa na wasiwasi maana simu yake nilikuwa nimeishikilia, nikamwambia niambie ukweli kabla sijaupata mwenyewe, ndo akakiri kuwa ni kweli ametoka na huyo franc mara Moja

Nikaamua kufuatilia ndo nikaamfahamu huyo kijana ni dereva wa hiace hapo stend. Baadae nikambana wife akaongeza tena kuwa ametoka naye mara mbili , na mara ya pili ni hapa nyumbani sebuleni usiku watoto wakiwa wamelala..

Baadae nikamtafuta yule kijana nikamuweka kati akakiri kuwa ni kweli ametembea naye geto kwake na nyumbani kwangu, ila huyo kijana alikuwa hanifahamu, yule kijana akajitetea kuwa wife alimwambia kuwa tulishaachana tunalea tu watoto

Sasa naomba ushauri wako kwanza nampenda na nimempa Kila kitu isipokuwa muda wa kutosha maana nafanya kazi za porini..

Anatamani nisamehee lakini nimeshindwa Nisaidie nifanye nini, Kila nikilala nawaza kuwa siku zote alikuwa na mahusiano kwa Siri zaidi ya mwaka mmoja
Hapo huna chako, atakuuwa... utakufa... kwa mawazo.....magonjwa....huyo kadhamiria hadi ndani kwako hatari.
 
Aisee ndugu huyu hakustahili hata kukwambia huo upuuzi hilo ni doa kubwa Sana kwenye ndoa Yako ndugu
 
Muulize Wakati anachepuka kama alitumia kinga, maana kama hakutumia na jamaa akamwagia ndani, hakika hapo hauna mke tena maana hao viumbe KAMWE hawawezi tumikia mabwana wawili.
 
Ndugu yangu wanawake wote wako ivo ivo, kwa mwanamke wa siku izi kuvumilia mwezi bila kuliwa hawezi. Mimi mke wangu wa kwanza alikua analiwa na majirani tena masaa machache tu ya kwenda kazini, nkampiga chini. Nkaoa mwingine nae analiwa mtaani na kazini kwao, nkasema ngoja nimkomoe nikaoa kengine kadogo, nkakapangisha geto, kuna siku nmeenda geto nkakuta kanaliwa mlango umefungwa kwa ndani. Kwa uzoefu huu nmegundua awa ndugu wanafanana tu dawa yao ni kuwazabua tu na kuwaacha.
KAMWEE. Usiwekeze hisia kwa mwanamke, ukimpa ela zisikuume fanya kama umetoa msaada kwa yatima.
USHAURI. Usiangaike kumwacha uyo mama mwache akulelee watoto, wewe kajiongeze mbele ya safari, unasafiri kutoka lindi mpaka arusha kila mwezi kufwata mbunye umeacha ngapi apo katikati, ata kama ni ya mkeo mbunye zinafanana tu na za wanawake wengine.
NB. Ukiona mwanamke ana lawama sana ujue anachepuka io ni difensi mekanizimu😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom