Kama unataka kipindi cha masika kuhama nyumba sawa we paua kwa uo mtindo
BTW...hizo tofari nyekundu umezipata wapi?
Sent from my Infinix X653C using JamiiForums mobile app
Tuanzie kwenye location ya site yako unaijenga sehemu gani yenye mvua za kiasi? au mvua y kutosha? . Kwa kuangalia aina ya matofali uliyotumia inaonyesha unaijenga sehemu yenye mvua nyingi na mpaka kwenye stage ya ujenzi uliyofikia ni dhahiri kua mjengo umedesigniwa kuwa na pitched roof na sio flat roof .
Kama unataka kwenda na option ya contemporary kwa ajili ya kusave construction cost mpak hapo ulipofikia kwenye ujenzi wako hio itakua ni wrong approach kwa sababu itakutaka kutumia gharama nyingine ya kubadilisha structure ya nyumba yako iweze kuruhusu upitishaji wa maji toka kwenye paa mpka ardhini na pia itahitaji uiongezee urembo zaidi ili kuvutia maana contemporary inaitaji urembo mwingi.
Kama unataka contemporary kwa kua umezipenda kulingana na location ya site yako inaonyesha ni sehemu yenye mvua nyingi inaweza kuwa ni nyanda za juu kusini .Hivyo maamuzi ya kuezeka na flat roof hayatakua sahihi saana ikiwa hata kama utapata fundi mzoefu akafanya kazi hio basi jua kabisa ujiandae kwa maintainance cost kila baada ya kipindi fulani ili upake tena water proofing material ili uzuie isivuje pia uliende kuta zako.
NB. Nenda na option ya paa la kawaida kwa faida zaidi.
Nakushauri upauwe kawaida tuHabari wadau , kwanza nadhani wengine ndio itakuwa ni mara yao ya kwanza kuona Tofali nyekundi ya block.
Nirud kwenye mada jengo limejengwa kwa mchoro wa kupaua kikawaida ila sasa kutokana na hali kuwa ya ukata/ngumu na bati zipo juu hamna uwekezano wa jengo hili likapauliwa kama mtindo wa ki south (kuficha bati ) lakn pia isipotezi muonekano.
Polen kwa muandko m-baya.
Nasubiri comment zenu.
View attachment 2050253
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja!Ushauri wangu,
1. Kunabidilisha muonekano wa nyumba yako na kuifanya iwe contemporary kwa kigezo Cha kukwepa gharama naona sio sahihi Kwani contemporary inahitaji nondo nyingi pamoja na cement kwaajili ya slab (gutters) hivyo gharama hukalibiana isipokuwa tu utapunguza idadi ya bati na kuongeza nondo na cement. ( Jenga contemporary kwa kigezo Cha kuipenda sio kupunguza gharama).
2. Nyumba yako imedizainiwa kuwa na bati za kawaida utakapo amua kuibadilisha na kuwa contemporary haitokuwa na mvuto sana kwani, contemporary inatips zake za kuidesign kuanzia kwenye floor plan mpk juu ikupata muonekano mzuri. Aidha upate mtaalam mbobezi wa kudesign contemporary itakuwa vizuri zaidi