Wakuu, nilikua na mkopo wa heslb kama 13m hivi, nimelilipa wee mpaka limebaki 2.8m, sasa naona linanikera tu coz haliishi pamoja na juhudi zangu za kulipa nilizonazo.
So nafikiria kutafuta hiyo balance yote iliyobaki kutoka vyanzo vingine vya mapato nilipe hilo deni then mimi nibaki nadaiwa na hivyo vyanzo vyangu nitakavyokua nimenyofoa hiyo pesa.
Hongera kwa kuwa mzalendo.
Kuna kipindi jiwe alitishia kutufunga magereza wadaiwa sugu wote,sijui aliishia wapi na ule mpango wake.Maza yeye hana makuu,hajawahi hata kuzungumza lolote kuhusu sisi wadaiwa sugu.