Naomba ushauri kuhusu Gear Box oil ya 1NZ

Mafundi msaada, eti gear box oil, mfano ya ist, unapima wakati engine imezimwa au iko on, naona mafundi wananichanganya sana.

Msaada tafadhali.
Washa gari.

Kapige misele engine ipate joto.

Park kwenye sehemu ambayo ni tambalale, Usizime gari.

Angalia level ya Oil, Hakikisha iko kwenye mark ya HOT.

Kwa gari ambazo hazina Dip stick fungua koki, oil itakayomwagika ndio imezidi. Kisipomwagika kitu kuna chance unatembea na Low Oil level.

Halafu sijui kwanini watu wanapenda kubadilibadili gearbox Oil. Huwa zinaenda Km nyingi. Ndio maana baadhi ya dipstick wameandika kabisa kwamba "Under Normal Driving Condition, No need to Change ATF".
 
shukrani mkubwa,madini ya uhakika.
 
Kuna zingine zikifikisha km 30,000 na kuna magari mengine hata hiyo dip stick hazina.
Washa gari.

Kapige misele engine ipate joto.

Park kwenye sehemu ambayo ni tambalale, Usizime gari.

Angalia level ya Oil, Hakikisha iko kwenye mark ya HOT.

Kwa gari ambazo hazina Dip stick fungua koki, oil itakayomwagika ndio imezidi. Kisipomwagika kitu kuna chance unatembea na Low Oil level.

Halafu sijui kwanini watu wanapenda kubadilibadili gearbox Oil. Huwa zinaenda Km nyingi. Ndio maana baadhi ya dipstick wameandika kabisa kwamba "Under Normal Driving Condition, No need to Change ATF".
 
Washa gari.

Kapige misele engine ipate joto.

Park kwenye sehemu ambayo ni tambalale, Usizime gari.

Angalia level ya Oil, Hakikisha iko kwenye mark ya HOT.

Kwa gari ambazo hazina Dip stick fungua koki, oil itakayomwagika ndio imezidi. Kisipomwagika kitu kuna chance unatembea na Low Oil level.

Halafu sijui kwanini watu wanapenda kubadilibadili gearbox Oil. Huwa zinaenda Km nyingi. Ndio maana baadhi ya dipstick wameandika kabisa kwamba "Under Normal Driving Condition, No need to Change ATF".
Akisema acheck mara kwa mara na Hana dip stick, c itakuwa inamwagikamwagika (kama kipimo Cha utosherevu)mwisho itasoma low-level ,,,nawaza tu lakini
 
Back
Top Bottom