profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Mafundi msaada, eti gear box oil, mfano ya ist, unapima wakati engine imezimwa au iko on, naona mafundi wananichanganya sana.
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washa gari.Mafundi msaada, eti gear box oil, mfano ya ist, unapima wakati engine imezimwa au iko on, naona mafundi wananichanganya sana.
Msaada tafadhali.
shukrani mkubwa,madini ya uhakika.Washa gari.
Kapige misele engine ipate joto.
Park kwenye sehemu ambayo ni tambalale, Usizime gari.
Angalia level ya Oil, Hakikisha iko kwenye mark ya HOT.
Kwa gari ambazo hazina Dip stick fungua koki, oil itakayomwagika ndio imezidi. Kisipomwagika kitu kuna chance unatembea na Low Oil level.
Halafu sijui kwanini watu wanapenda kubadilibadili gearbox Oil. Huwa zinaenda Km nyingi. Ndio maana baadhi ya dipstick wameandika kabisa kwamba "Under Normal Driving Condition, No need to Change ATF".
Washa gari.

sasa mkuu,kama haina deepstick,kibongobongo si ni hatari sana?mfano imevuja..Kuna zingine zikifikisha km 30,000 na kuna magari mengine hata hiyo dip stick hazina.
Magari yangu hayana dip stick.sasa mkuu,kama haina deepstick,kibongobongo si ni hatari sana?mfano imevuja..
gari gani mkuuMagari yangu hayana dip stick.
😁😁 BMW za kuanzia 2005 hazina.gari gani mkuu
BMWgari gani mkuu
Akisema acheck mara kwa mara na Hana dip stick, c itakuwa inamwagikamwagika (kama kipimo Cha utosherevu)mwisho itasoma low-level ,,,nawaza tu lakiniWasha gari.
Kapige misele engine ipate joto.
Park kwenye sehemu ambayo ni tambalale, Usizime gari.
Angalia level ya Oil, Hakikisha iko kwenye mark ya HOT.
Kwa gari ambazo hazina Dip stick fungua koki, oil itakayomwagika ndio imezidi. Kisipomwagika kitu kuna chance unatembea na Low Oil level.
Halafu sijui kwanini watu wanapenda kubadilibadili gearbox Oil. Huwa zinaenda Km nyingi. Ndio maana baadhi ya dipstick wameandika kabisa kwamba "Under Normal Driving Condition, No need to Change ATF".
Hayo mambo ya wajapani.Akisema acheck mara kwa mara na Hana dip stick, c itakuwa inamwagikamwagika (kama kipimo Cha utosherevu)mwisho itasoma low-level ,,,nawaza tu lakini