Lwamadovela
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 324
- 235
Hata kwa sisi walimu mkuu wangu!?anayeweza kumfukuza kazi mtumishi ni katibu mkuu na hii imeandikwa kwenye public service act na standing order
Unadhani ni rahisi hivyo?. Ushauri wako ni mzuri lkn Kumbuka huyo Kuna haki zake atazipoteza, wacha apambane. Ni kupambana hadi kieleweke, hayo ya kujiajiri yaje tu lkn na kupambana ni muhimu.Mbona kazi za kufanya zipo?
Achana nao, madam hawajakukata mikono wala akili yako.
Still you can make it kwa njia nyingine.
Unaweza endelea na kesi, wtf ukishindwa?
Wastage of time and money!!
Btw how old are you?
ni kweli mkuu wangu. nimejiajiri, jua nina familia na mambo ya kijamii yananikabili. lakini haki yangu lazima niipiganie mpaka tone la mwishoUnadhani ni rahisi hivyo?. Ushauri wako ni mzuri lkn Kumbuka huyo Kuna haki zake atazipoteza, wacha apambane. Ni kupambana hadi kieleweke, hayo ya kujiajiri yaje tu lkn na kupambana ni muhimu.
Pambana hadi kieleweke, TSC kule sasa hivi hakuna haki, yule Katibu wao wa TSC makao makuu hakuna analo lijua yupo kama picha tu.ni kweli mkuu wangu. nimejiajiri, jua nina familia na mambo ya kijamii yananikabili. lakini haki yangu lazima niipiganie mpaka tone la mwisho
Rutaindurwa arudi kwao bukoba akalime ndizi, anafukuza walimu kiholela bila ushahidi wala vielelezo.Pambana hadi kieleweke, TSC kule sasa hivi hakuna haki, yule Katibu wao wa TSC makao makuu hakuna analo lijua yupo kama picha tu.
Ni pm mkuuUlifanya kosa gani?
Nashukuru mkuu. Nilienda hapo. Shauri likaendeshwa bila mwajili kuwepo. Mwisho wa siku hukumu ikatoka kwamba nimalize taratibu zote za nafuu kisheria. Ndipo niende CMA. Ko nikapeleka rufaa Ikulu. Rufaa yangu ilikataliwa.inabidi niende mahakama kuu kitengo cha kazi.sasa ndo naomba msaada wa kujua kama nilivyo omba hapo juuUlipaswa kuanzia CMA.
Angalia usijekuwa nje ya muda, maana ndani ya miezi sita (6) tangu ulipopokea barua ya mwisho ya ukomo wa rufaa, nje ya hapo shauri lako litatupiliwa mbaliiiii.Nashukuru mkuu. Nilienda hapo. Shauri likaendeshwa bila mwajili kuwepo. Mwisho wa siku hukumu ikatoka kwamba nimalize taratibu zote za nafuu kisheria. Ndipo niende CMA. Ko nikapeleka rufaa Ikulu. Rufaa yangu ilikataliwa.inabidi niende mahakama kuu kitengo cha kazi.sasa ndo naomba msaada wa kujua kama nilivyo omba hapo juu
Mwanzoni walikupa hati za mashtaka? Na ukaambiwa ujibu ndani ya siku 14 ?
Nukta.Mbona kazi za kufanya zipo?
Achana nao, madam hawajakukata mikono wala akili yako.
Still you can make it kwa njia nyingine.
Unaweza endelea na kesi, wtf ukishindwa?
Wastage of time and money!!
Btw how old are you?
Mwanzoni walikupa hati za mashtaka? Na ukaambiwa ujibu ndani ya siku 14 ?
Kwa taratibu za utumishi wa umma anaposhutumiwa kuwa ametenda kosa huwa mamlaka ya nidham inampa notes ya mashtaka ikiambatana na makosa uliyo yafanya na vifungu vya sheria ulivyo vunja katika utumishi wako na utaombwa upeleke utetezi wako ndani ya siku 14 ukishapeleka utetezi wako utasubir tume ya uchunguzi ije ikuhoji (kama utakuwa umekataa makosa lakini kama umekubali tume ya uchunguzi itaamua kukupa adhabu kutokana na makosa yko) sasa wewe ilikuwaje?
1.Uliletewa hati ya mashtaka?
2. Tume ya uchunguzi ilikuja kukuhoji kutokana ña makosa uliyo yafanya?
3. Kama ulijibu hiyo hati ya mashtaka uliomba ushauri kwa wataalam wanaojua taratibu na sheria za kiutumishi?

Hata kwa sisi walimu mkuu wangu!?