Naomba ushauri kuhusu kazi

Naomba ushauri kuhusu kazi

Melxcom991

Senior Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
101
Reaction score
115
Wakubwa zangu i hope mko fine,
Nilikua naomba ushauri wenu mimi ni kijana nilie maliza chuo mwaka huu.

Nimepata option mbili za kazi:

1. Kujitolea serikalini

2. Kuuza duka ambapo mshahara wake laki 3 kwa mwezi

Ipi ni option nzuri?
 
Andika hapo huyu naye n wale walienda shulee kusomea ujingaa...
FB_IMG_1731931623196.jpg
 
Inategemea na malengo yako ni yapi. Ila kwa mtazamo wangu nashauri;
1. Kama unategemea kuajiriwa mbeleni jitolee upate skills za kazi zitakusaidia mbeleni kwenye interview.
2. Kama una malengo ya kujiajiri kauze duka upate pia skills za biashara.
 
Wakubwa zangu i hope mko fine,
Nilikua naomba ushauri wenu mimi ni kijana nilie maliza chuo mwaka huu.

Nimepata option mbili za kazi:
1. Kujitolea serikalini

2. Kuuza duka ambapo mshahara wake laki 3 kwa mwezi

Ipi ni option nzuri?
Huko kwenye kujitolea, kuna posho yoyote?
 
Inategemea na malengo yako, kama ni kujiajiri fanya biashara upate experience ya Maisha years later ufanye biashara yako.

Kama ndoto ni kuajiliwa Basi Nenda kafanye volunteer serikalini upate experience pia..
 
Wakubwa zangu i hope mko fine,
Nilikua naomba ushauri wenu mimi ni kijana nilie maliza chuo mwaka huu.

Nimepata option mbili za kazi:
1. Kujitolea serikalini

2. Kuuza duka ambapo mshahara wake laki 3 kwa mwezi

Ipi ni option nzuri?
Serikalini utajitolea mpka ukome mi nilikaa mpka nikachoka mwenyewe.
Na hakuna posho ya uhakika
 
Inategemea na malengo yako ni yapi. Ila kwa mtazamo wangu nashauri;
1. Kama unategemea kuajiriwa mbeleni jitolee upate skills za kazi zitakusaidia mbeleni kwenye interview.
2. Kama una malengo ya kujiajiri kauze duka upate pia skills za biashara.
Asipoelewa hapa basi hatoelewa tena.
 
Sauti isemayo Ndani Ya Moyo Wako Ndio ya Ukweli Isikilize Sana Hiyo Kwa Umakini Mkubwa Sana
 
Back
Top Bottom