Naomba ushauri kuhusu kazi

Naomba ushauri kuhusu kazi

Daah Mungu atusaidie na atusamehe sana. Kuna vitu ukisoma huku mitandaoni vinakatisha tamaa sana.
 
Chukua option ya pili kisha kua muaminifu (mjini ogopa pesa ya mtu na mke wa mtu utaishi kwa amani), nidhamu ya pesa (save ) na uwe na mipango ya siku moja kufungua biashara yako.
 
Back
Top Bottom