Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Option hii ilinisaidia sana asee .Namba mbili uku unafanya saili za psrs hakuna faida ya kujitolea good luck 💯 🤞
Huko kwenye kujitolea, kuna posho yoyote?Wakubwa zangu i hope mko fine,
Nilikua naomba ushauri wenu mimi ni kijana nilie maliza chuo mwaka huu.
Nimepata option mbili za kazi:
1. Kujitolea serikalini
2. Kuuza duka ambapo mshahara wake laki 3 kwa mwezi
Ipi ni option nzuri?
Hakuna uhakika wa posho mufa mwengin unaweza ukapewa,muda mwengn usipeweHuko kwenye kujitolea, kuna posho yoyote?
Serikalini utajitolea mpka ukome mi nilikaa mpka nikachoka mwenyewe.Wakubwa zangu i hope mko fine,
Nilikua naomba ushauri wenu mimi ni kijana nilie maliza chuo mwaka huu.
Nimepata option mbili za kazi:
1. Kujitolea serikalini
2. Kuuza duka ambapo mshahara wake laki 3 kwa mwezi
Ipi ni option nzuri?
Even ajira zilivyo tangazwa huku pata?Serikalini utajitolea mpka ukome mi nilikaa mpka nikachoka mwenyewe.
Na hakuna posho ya uhakika
Ilikuw mda sio mwaka huuEven ajira zilivyo tangazwa huku pata?
Asipoelewa hapa basi hatoelewa tena.Inategemea na malengo yako ni yapi. Ila kwa mtazamo wangu nashauri;
1. Kama unategemea kuajiriwa mbeleni jitolee upate skills za kazi zitakusaidia mbeleni kwenye interview.
2. Kama una malengo ya kujiajiri kauze duka upate pia skills za biashara.
OkeyIlikuw mda sio mwaka huu