M Melxcom991 Senior Member Joined Aug 2, 2021 Posts 101 Reaction score 115 Nov 19, 2024 Thread starter #21 DR HAYA LAND said: Angalia pesa kwanza ilipo Click to expand... Kwa maisha ya dar kwa laki 3, kunaend ndugu mimi siko dar ila kazi ndio ipo dar
DR HAYA LAND said: Angalia pesa kwanza ilipo Click to expand... Kwa maisha ya dar kwa laki 3, kunaend ndugu mimi siko dar ila kazi ndio ipo dar
Kidagaa kimemwozea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 3,680 Reaction score 6,554 Nov 19, 2024 #22 Melxcom991 said: Kwa maisha ya dar kwa laki 3, kunaend ndugu mimi siko dar ila kazi ndio ipo dar Click to expand... Mipango tu kuna watu wanapata chini ya hapo
Melxcom991 said: Kwa maisha ya dar kwa laki 3, kunaend ndugu mimi siko dar ila kazi ndio ipo dar Click to expand... Mipango tu kuna watu wanapata chini ya hapo
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,710 Reaction score 2,951 Nov 19, 2024 #23 Daah Mungu atusaidie na atusamehe sana. Kuna vitu ukisoma huku mitandaoni vinakatisha tamaa sana.
Break Time JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 283 Reaction score 500 Nov 19, 2024 #24 Chukua option ya pili kisha kua muaminifu (mjini ogopa pesa ya mtu na mke wa mtu utaishi kwa amani), nidhamu ya pesa (save ) na uwe na mipango ya siku moja kufungua biashara yako.
Chukua option ya pili kisha kua muaminifu (mjini ogopa pesa ya mtu na mke wa mtu utaishi kwa amani), nidhamu ya pesa (save ) na uwe na mipango ya siku moja kufungua biashara yako.