Udochi JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 787 Reaction score 1,056 Jan 25, 2022 #1 Kwa kurejelea mchoro huu, nimeshajenga msingi kamili. Ila naona nyumba itakuwa kubwa sana kuimudu kujenga yote kwa sasa. Nafikiria kuigawa katika sehemu mbili, niikamilishe hiyo sehemu ya upande wa kushoto ili nihamie. Kisha upande wa kulia niliouweka rangi nyekundu ije kuwa apartment ambayo nitaifanya chumba na sebule zinazojitegeme siku zijazo. Naomba ushauri, maoni na uzoefu wenu. View attachment 2095552 View attachment 2095553
Kwa kurejelea mchoro huu, nimeshajenga msingi kamili. Ila naona nyumba itakuwa kubwa sana kuimudu kujenga yote kwa sasa. Nafikiria kuigawa katika sehemu mbili, niikamilishe hiyo sehemu ya upande wa kushoto ili nihamie. Kisha upande wa kulia niliouweka rangi nyekundu ije kuwa apartment ambayo nitaifanya chumba na sebule zinazojitegeme siku zijazo. Naomba ushauri, maoni na uzoefu wenu. View attachment 2095552 View attachment 2095553
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Jan 25, 2022 #2 Uko sahii [emoji117]Store ifanye choo Cha ndani [emoji117]Kitchen ifanye iwe bedroom [emoji117]Dinning ifanye sebule Changamoto, Hatujajua vipimo vya iyo sebule vitakuaje maana naona Ni ndogo
Uko sahii [emoji117]Store ifanye choo Cha ndani [emoji117]Kitchen ifanye iwe bedroom [emoji117]Dinning ifanye sebule Changamoto, Hatujajua vipimo vya iyo sebule vitakuaje maana naona Ni ndogo
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Jan 25, 2022 #3 Pia kama kidg mfuko unaruhusu Chukua Iyo master bedroom na sitting room pamoja na korido Ila korido ifanye nafas ya jiko (kupikia)
Pia kama kidg mfuko unaruhusu Chukua Iyo master bedroom na sitting room pamoja na korido Ila korido ifanye nafas ya jiko (kupikia)
Udochi JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 787 Reaction score 1,056 Jan 26, 2022 Thread starter #4 DeepPond said: Uko sahii [emoji117]Store ifanye choo Cha ndani [emoji117]Kitchen ifanye iwe bedroom [emoji117]Dinning ifanye sebule Changamoto, Hatujajua vipimo vya iyo sebule vitakuaje maana naona Ni ndogo Click to expand... Mkuu umenipa mwongozo safi kabisa. Vipimo ni moderate tu futi 11, vinakidhi.
DeepPond said: Uko sahii [emoji117]Store ifanye choo Cha ndani [emoji117]Kitchen ifanye iwe bedroom [emoji117]Dinning ifanye sebule Changamoto, Hatujajua vipimo vya iyo sebule vitakuaje maana naona Ni ndogo Click to expand... Mkuu umenipa mwongozo safi kabisa. Vipimo ni moderate tu futi 11, vinakidhi.
Udochi JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 787 Reaction score 1,056 Jan 26, 2022 Thread starter #5 DeepPond said: Pia kama kidg mfuko unaruhusu Chukua Iyo master bedroom na sitting room pamoja na korido Ila korido ifanye nafas ya jiko (kupikia) Click to expand... Hapo wamaanisha bedroom ipi, iliyopo katikati au iliyopo pembeni kushoto?
DeepPond said: Pia kama kidg mfuko unaruhusu Chukua Iyo master bedroom na sitting room pamoja na korido Ila korido ifanye nafas ya jiko (kupikia) Click to expand... Hapo wamaanisha bedroom ipi, iliyopo katikati au iliyopo pembeni kushoto?
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Jan 26, 2022 #6 Hakikisha kwamba mfumo wa maji taka umefupishwa kwa kuweka vyoo karibu. Pia jiko lisiwe mbali sana. Hii itakupunguzia gharama za kuunganisha mfumo wa majitaka kwenye nyumba.
Hakikisha kwamba mfumo wa maji taka umefupishwa kwa kuweka vyoo karibu. Pia jiko lisiwe mbali sana. Hii itakupunguzia gharama za kuunganisha mfumo wa majitaka kwenye nyumba.